Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kwa sababu ya kina naweza kubaliana na wewe japo sijui usahihi wa vipimo vya kina kwa upande wetu! Kijiografia hapo sijakupata vzrkijiografia na kitaalamu kwa kina cha bahari ya hindi na kwa jiografia ya jiji la dar es salaam hakuna siku ambayo tsunami itaikumbuka. rejea kwa huyo nabii wako na ukamwambie kuwa he's a damn fool sawa?
Maji hayapiti kwetuToka humo ndani uende sehemu salama usije ukafia humo peke yako mkuu
Safiii mkuu 👏👏👏👏👏kijiografia na kitaalamu kwa kina cha bahari ya hindi na kwa jiografia ya jiji la dar es salaam hakuna siku ambayo tsunami itaikumbuka. rejea kwa huyo nabii wako na ukamwambie kuwa he's a damn fool sawa?
Huku inanyesha hadi mimi naogopa
Ndani nipo mwenyewe🥺
Sina mbavu! 😂😅😆😹🤣😸🤭Cha ajabu wapigakura hao hupelekewa huduma zote za jamii......umeme, barabara, huduma za afya, shule, maji, n.k
Heng OverNaingia kwenye mada moja kwa moja. Mvua kubwa sana inanyesha mahali hapa sijapata kuona. Haki tangu nizaliwe sijawahi kushuhudia mvua kubwa kiasi hiki.
Serikali ijiandae kukabiliana na adhari za mafuriko zitakazsababishwa na mvua hii kwani kadri muda unavyoenda mvua inazidi kuongezeka
Mara ya mwisho mvua iliponyesha ilingo'a madaraja na kuua watu watatu. Safari hii tujiandae kwa maafa zaidi.
Tuambie mahali ulipo hali ikoje na nini tutarajie baada ya mvua hii.
Nawasilisha.
UPDATES
Mawasiliano kati ya Tegeta na Kunduchi yamekatika baada ya daraja la Kunduchi-Mtongani kukatika. Magari, nyumba na mali za raia zimesombwa na maji. Nguzo za umeme zimeanguka na baadhi ya raia wamefariki. Tatizo watu wamejenga karibu na mto kwa kupewa vibali na maofisa ardhi wa serikal.
Hadi sasa mvua inaendelea kunyesha baadhi ya maeneo hapa Dar. Serikali itoe tahadhari kwa wananchi na ichukue hatua kukabiliana na mafuriko.
Nitaendelea kuwapa updates na picha kadri nitakavyozipata.........
Bora uende kambini ukaruke kichurachura hadi ulie.😄Ngoja nikuvideo call ephen 😁😁 tupige stori za kikosini
Jinsia yako tafadhaliMaji hayapiti kwetu
Naogopa radi zinazopiga
Nikisema nitoke nje naenda wapi kila mtu yupo ndani kwake
Mimi naenda kupika ugali nile, dukani hakuendekiNpo hapa nasoma update 🧐🧐naweza jinsi kutoka hata nkanunue mkate njaaa imewaka
1h non stop
Na upepo ndio hatari zaidiMh hii mvua hatari
Nitakuokoa madame.Kuna haja ya kujifunza kuogelea sasa, hii hali inaelekea kuwa ngumu
Nipo Kigamboni mvua ni kubwa sana na umeme kama kawaida umekatwa.