Nipo zangu moro mie nimetulia zangu. Huku mvua imepiga toka saa kumi alfajiri mpaka sasa ngoma inaendelea tuu. Wenye wake na mademu zao wanabingirika tuuAlikuwepo mzabzab huko jana na ndio Manusura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo zangu moro mie nimetulia zangu. Huku mvua imepiga toka saa kumi alfajiri mpaka sasa ngoma inaendelea tuu. Wenye wake na mademu zao wanabingirika tuuAlikuwepo mzabzab huko jana na ndio Manusura
Bora yako! Mi sipikagi nanunua misos...nimetoka njeee mvua niliyoona bora nife njaaa kuliko nichat nikiwa juu ya maji napelekwa bahariniMimi naenda kupika ugali nile, dukani hakuendeki
Njoo nikupeleke swimming lessons na bathing suit nakununuliaKuna haja ya kujifunza kuogelea sasa, hii hali inaelekea kuwa ngumu
Upo wapi sasa mkuu? Maana mpaka sasa hapa naelea tuNitakuokoa madame.
Siko tayari ubebwe na maji.
Kuogelea kwenye swimming pool na kuogelea mtombezi😂ni vitu viwili tofautiKuna haja ya kujifunza kuogelea sasa, hii hali inaelekea kuwa ngumu
Njoo nifundishie hapa ndani kwangu maana maji yapo usawa wa mabega mpaka sasa😂Njoo nikupeleke swimming lessons na bathing suit nakununulia
Lazima wakate umemeNipo Kigamboni mvua ni kubwa sana na umeme kama kawaida umekatwa.
Daah kwahiyo inabidi nianze kujifunzia mtoni sio?Kuogelea kwenye swimming pool na kuogelea mtombezi😂ni vitu viwili tofauti
Nkulete boyaUpo wapi sasa mkuu? Maana mpaka sasa hapa naelea tu
Unakatika na kuwaka. Sidhani kama ndio utaratibu. Tangu nimepost umekatika na kurudi mara tatu,sasa hivi umekatika tenaKwa kawaida mvua ikinyesha baadhi ya nguzo za umeme huabguka. Hivyo, umeme hukatwa ili kuepusha maafa kwa wananchi
Usiogope, muhimu isiwe unaishi mabondeni maana kipindi hiki wanaoishi bondeni wana kazi. Vuta shuka furahia uumbaji mkuu🤣Huku inanyesha hadi mimi naogopa
Ndani nipo mwenyewe🥺
Unakatika na kuwaka. Sidhani kama ndio utaratibu. Tangu nimepost umekatika na kurudi mara tatu,sasa hivi umekatika tena
Akikaa chini na yeye anasombwa na mafuriko,alikuwa akiandika huku akitoka mbio,daslam hiyoMkuu hebu kaa chini kwanza uandike vyema tukuelewe.
Pole sana mkuu. Afu mvua za zamani hapa Dar hazikuwa na radi kabisa. Sijui hizi radi hasa zilitoka wapi.Maji hayapiti kwetu
Naogopa radi zinazopiga
Nikisema nitoke nje naenda wapi kila mtu yupo ndani kwake
TMA round hii mkeka wao haujasoma mapemaNa upepo ndio hatari zaidi