Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

... Nabii huyo amesema ili Dar isiangamizwe watu wafanyeje?
 
Namkumbuka alisema watu wahame kabla ya April
 
Raia waliojenga mabondeni wamezungukwa ma maji. Serikali inaombwa ipeleke helikopta kuwanasua.
Mkuu, samahani lakini, mtu anaamua mwenyewe kununua shamba la mpunga na kulibadilisha matumizi, akijenga mjengo wa mamilioni ya shillings halafu mvua zinaponyesha kama leo, maji yakafuata mkondo wake na kumuathiri....
Tuilaumu Serekali kweli kwenye hili? 😲
 
Bado mvua ni kubwaaa.....na inakuja zaidi.

Zingatia: sio lazima utoke kama huna sababu ya lazima sana.

Pia kwa wenye magari madogo aka saluni ongeza umakini kukatiza mitaro ya maji.

Kama gari lako lina tatizo ya battery pia tulia maana likizima katikati ya mvua hakuna booster...ni ushauri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…