Dar: Soko la Mbagala laungua moto


Hahaha. Kuwa haya yoote yameanza hivi karibuni tu? Miaka ya nyuma hayakuwepo? Na yatokee kwa kufuatana, ndani ya mkoa mmoja, majiji mengine hakuna masoko?
Kuna wakati watu wenye akili hufanyiwa vitu vyenye kudharau akili zao.
 
Kipindi Cha nyuma ziliungua shule za kiislam tu, sahiv yanaungua masoko tu
Nafikiri huu ni Makakati Fulani haiwezi ikawa ni ajali za kawaida
 
Yule Gaidi mchoma masoko yupo ndani na timu yake sasa Nani anapiga hii shoo
wanatafuta ushahidi ngoja waunganishe dot.. Utambiwa alishatengenezaga crew, mbn hii season haiishi kwa kweli
 
Soko la kariakoo mbona lilikua standard kuliko soko lolote hata Tz lakini bado liliungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…