RJ-White
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 744
- 752
Kama chanzo cha moto kwenye masoko mengi wote tunajua ni either uzembe wa wapishi ndani ya soko kuzima moto,kuunganisha umeme kihuni, uvutaji sigara na bangi ndani ya soko
Jinsi ya kuzuia
Jenga masoko high standard ili hizi kero zisiwepo ila ubaya hakuna ataekubali sasa
Hahaha. Kuwa haya yoote yameanza hivi karibuni tu? Miaka ya nyuma hayakuwepo? Na yatokee kwa kufuatana, ndani ya mkoa mmoja, majiji mengine hakuna masoko?
Kuna wakati watu wenye akili hufanyiwa vitu vyenye kudharau akili zao.