chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
- Thread starter
- #61
Ndio dalili ya kukomaa kisiasa, CCM ni samaki mbichi, anarekebika kutokana na mahitaji ya jamii.Kinacho nifurahisha kwa hii serikali ya Ccm ni pale wanapo fanya maamuzi ya kuboronga na kuwaumiza raia halafu wakisha kosolewa wakirekebisha bado watajisifu badala ya kuomba radhi.. Funny Ccm.
Hata katiba mpya mnayodhani itawabeba, CCM itaji camouflage na ita fit kuliko hata wanaoipigania.
If you can't change, the change will change you.
Hata vyama vingi vya siasa, CCM iliona isivutane navyo, ikaweka strategy ya kuvikaribisha, halafu Ika inflitrate vyama hivyo na kuviendesha kutoka back door.
Wafalme wa vyama hivyo wote Sasa wamelegeza nati na kurudi kwa muajiri wao CCM...Mrema, Lipumba, Nyaucho and the likes