Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Kura zetu tunampa Lissu. Nyie za kwenu mnapata toka NEC.
 
Mlisema mwaka huu Chadema itakuwa imekufa, kiko wapi???
Amini nakwambia, kama Mungu aishivyo, Ccm ndo inakufa na Chadema haitokufa kamwe
 
Kesho atatutambua wa Kawe! Hatuna mpango na Mdee kabisaaaa! Angalia watu waliohudhuria mkutano wao hapo Kawe leo. Kiduchuuu!!
Sauti ya Zege Halima Mdee kiboko "kwamba Rashida ataitwa joyce"
 
Chadema wabaguzi sana Lisu kaenda kawe mara mbili lakini hajakanyaga Ukonga....ndo mshangaee
 
Lissu ni kwa 2025 sahivi anaandaa njia tu!
Lissu anaondoka hivi karibuni kurudi Ulaya kuendela na mradi wake wa kuchuma pesa kutoka kwa akina Amsterdam kama mwanaharakati wa kujitegemea wa haki za mashoga, vinginevyo, hana njia mbadala ya kusurvive Ubelgiji kama diaspora. Huu ndio mwisho wa Lissu KISIASA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…