Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Hatujawahi kuwa na roho za kukatisha tamaa ,huwa kuna mambo yanatokea kwa bahati mbaya tu
Bila shaka unataka kijibakisha kwa makusudi! Na watu hawana hiana utabakwa mpaka uzindukie thieta.Lissu akipata hata 10% tu mimi navua nguo hadharani. In other words, Lissu hawezi pata hata 10%.
Asante mkuu Kwa kuukubali ukweli
Nitakuwepo, ila tumeshashindwa!
🖐😍👍Asante mkuu Kwa kuukubali ukweli
Ukweli humuweka mtu huru.
Shida yako mda mwingine huletu live uptades afu ikifika jioni unatuletea picha za Meatu ya mwaka 3900.Mungu ibariki CHADEMA , Mungu mbariki Tundu Lissu
Hata aibu huoni??huu uongo utakupeleka wapi ndugu yangu?Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Ya Mashoga (CHADEMA)
Hivi kwa hila za Tume-ccm kwenye karatasi halisi ikatokea kwamba jina la mwisho likawa la Lipumba + cuf na jina la Lissu + chadema kuwekwa chini ya "chama cha demokrasia makini" ili kuvuruga wapiga kura kuna hatua zozote za kisheria za kuweza kuchukuliwa?Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70%...
Dalili nzuri sana hizi, MUNGU aweke mkono wake.Ni kweli hata kura za maoni kutoka shirika la utangazaji la voice of America/VOA zinaonesha Mh Lisu anashinda kwa asilimia 71%
Enyi watanzania bara na visiwani, piga kura linda kura! Usitishwe sababu kifo kipogo siku zote na hakuna mtu ambaye hatopatwa na umauti.
Awe polisi, Bia yetu, magufuli au yeyote yule lazima atakufa tu!View attachment 1613537
Kwamba watu Wana hasira hadi akifanya hivo anahisi amelipiza kisasi kwa mheshimiwaWeka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
Pamoja tunashinda!!
Uzuri watu wanachagua kwa kuangalia NEMBO ya chama, kwa mfano watu hawajui majina ya wagombea wa udiwani lakini wananchagua kwa kupigia Nembo ya CHADEMA. Hata hivyo kama sijakosea kuna uzi humu kuwa NEC ilitoa ufafanuzu wa mgombea wa Chadema kuwa mwisho wa karatasi, tunadhani itabaki kuwa hivyo, ikiwa tofauti tutajua mapema sana hapo kesho na habari hizo zitasambazwa haraka kwa wadau.Hivi kwa hila za Tume-ccm kwenye karatasi halisi ikatokea kwamba jina la mwisho likawa la Lipumba + cuf na jina la Lissu + chadema kuwekwa chini ya "chama cha demokrasia makini" ili kuvuruga wapiga kura kuna hatua zozote za kisheria za kuweza kuchukuliwa? Kumbukeni kuna wamekariri kwamba Lissu ni wa mwisho ktk orodho, hivyo wala hawatachukua tahadhari ya kuhakiki hilo! Pia kuna watu wamekariri "Demokrasia" - hawata chukua tahadhari ya kuhakiki kama ni "Demokrasia makini" au ni "Demokrasia na maendeleo"! Am just playing "the devil's advocate"!!!!
Asante mkuu! Ilikuwa tahadhari tu kwani shetani haishiwi mbinu na huwa hana aibuUzuri watu wanachagua kwa kuangalia NEMBO ya chama, kwa mfano watu hawajui majina ya wagombea wa udiwani lakini wananchagua kwa kupigia Nembo ya CHADEMA. Hata hivyo kama sijakosea kuna uzi humu kuwa NEC ilitoa ufafanuzu wa mgombea wa CDM kuwa mwisho wa karatasi, tunadhani itabaki kuwa hivyo, ikiwa tofauti tutajua mapema sana hapo kesho na habari hizo zitasambazwa haraka kwa wadau.
Hata usipo kuwepo wewe ,Lissu ni RAIS ajaye!Post zako zinaonesha wewe ni Malaya wa kisiasa period.Nitakuwepo, ila tumeshashindwa!