Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Mtupe matangazo live leo basi. Ni muhimu to keep your supporters energized to the end. Bora msingekuwa na matangazo live mwanzoni halafu yakawepo mwishoni. Na siyo the other way around.
Hatujawahi kuwa na roho za kukatisha tamaa ,huwa kuna mambo yanatokea kwa bahati mbaya tu
 
Asante sana kamanda Barikiwa! Tuko pamoja!
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki CHADEMA,
Mungu Mbariki Tundu Lissu!
Mungu awabariki Watanzania wote wapenda mabadiliko!
 
Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70%...
Hivi kwa hila za Tume-ccm kwenye karatasi halisi ikatokea kwamba jina la mwisho likawa la Lipumba + cuf na jina la Lissu + chadema kuwekwa chini ya "chama cha demokrasia makini" ili kuvuruga wapiga kura kuna hatua zozote za kisheria za kuweza kuchukuliwa?

Kumbukeni kuna watu wamekariri kwamba Lissu ni wa mwisho ktk orodha, hivyo wala hawatachukua tahadhari ya kuhakiki hilo! Pia kuna watu wamekariri "Demokrasia" - hawata chukua tahadhari ya kuhakiki kama ni "Demokrasia makini" au ni "Demokrasia na maendeleo"! Am just playing "the devil's advocate"!!!!
 
Wadau mnatakiwa ku download VPN kwa wale wenye iPhone ziko na shida kidogo ila mie tayari nimeirejesha dunia kiganjani✌️✌️🤣🤣
 
Ni kweli hata kura za maoni kutoka shirika la utangazaji la voice of America/VOA zinaonesha Mh Lisu anashinda kwa asilimia 71%
Enyi watanzania bara na visiwani, piga kura linda kura! Usitishwe sababu kifo kipogo siku zote na hakuna mtu ambaye hatopatwa na umauti.
Awe polisi, Bia yetu, magufuli au yeyote yule lazima atakufa tu!View attachment 1613537
Dalili nzuri sana hizi, MUNGU aweke mkono wake.
 
Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.

Pamoja tunashinda!!
Kwamba watu Wana hasira hadi akifanya hivo anahisi amelipiza kisasi kwa mheshimiwa
 
Hivi kwa hila za Tume-ccm kwenye karatasi halisi ikatokea kwamba jina la mwisho likawa la Lipumba + cuf na jina la Lissu + chadema kuwekwa chini ya "chama cha demokrasia makini" ili kuvuruga wapiga kura kuna hatua zozote za kisheria za kuweza kuchukuliwa? Kumbukeni kuna wamekariri kwamba Lissu ni wa mwisho ktk orodho, hivyo wala hawatachukua tahadhari ya kuhakiki hilo! Pia kuna watu wamekariri "Demokrasia" - hawata chukua tahadhari ya kuhakiki kama ni "Demokrasia makini" au ni "Demokrasia na maendeleo"! Am just playing "the devil's advocate"!!!!
Uzuri watu wanachagua kwa kuangalia NEMBO ya chama, kwa mfano watu hawajui majina ya wagombea wa udiwani lakini wananchagua kwa kupigia Nembo ya CHADEMA. Hata hivyo kama sijakosea kuna uzi humu kuwa NEC ilitoa ufafanuzu wa mgombea wa Chadema kuwa mwisho wa karatasi, tunadhani itabaki kuwa hivyo, ikiwa tofauti tutajua mapema sana hapo kesho na habari hizo zitasambazwa haraka kwa wadau.
 
Uzuri watu wanachagua kwa kuangalia NEMBO ya chama, kwa mfano watu hawajui majina ya wagombea wa udiwani lakini wananchagua kwa kupigia Nembo ya CHADEMA. Hata hivyo kama sijakosea kuna uzi humu kuwa NEC ilitoa ufafanuzu wa mgombea wa CDM kuwa mwisho wa karatasi, tunadhani itabaki kuwa hivyo, ikiwa tofauti tutajua mapema sana hapo kesho na habari hizo zitasambazwa haraka kwa wadau.
Asante mkuu! Ilikuwa tahadhari tu kwani shetani haishiwi mbinu na huwa hana aibu
 
[emoji1787][emoji1787] kwanini unatumia nguvu ilhali inajulikana kuwa iwe kwa amani / nguvu , ni lazima ccm ishinde ?

Maana wabongo barabarani hawataki kuingia kabisa hilo walilithibitisha kwa MangeKimambi

Dakika ya mwisho wote wanao ku support kwenye nyuzi zako watakuwa ndani ya blanket zao

Historia hiyo ataandika nani?
 
Back
Top Bottom