Uchaguzi 2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

Nahisi kesho mitandao yote ya kijamii haitakuwa hewani kama ilivyokuwa 2015.

Mungu ibariki CHADEMA na wagombea wake wote , Mungu mbariki Tundu Lissu, Mungu wabariki watu wa usalama wa Taifa, Mungu ibariki Tanzania kwa matendo ya HAKI.
 
Kesho hatutakuwa hewani😂, wenye porojo zao waziseme haraka maana tukirudi tutapokea nyuzi za malalamiko tu na si vinginevyo.
 
Mtupe matangazo live leo basi. Ni muhimu to keep your supporters energized to the end. Bora msingekuwa na matangazo live mwanzoni halafu yakawepo mwishoni. Na siyo the other way around.
Stream one ina kata sana wala huwezi kumsikia vizuri.
 
Back
Top Bottom