Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Katika watu mnazingua ni nyinyi, nitakuja kamili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu la kisiasa hili. Ungeeleza tatizo mtalimaliza lini au hadi sasa mnaupungufu wa mabasi kwa % ngapi na nini mkakati ya muda mfupi au mrefu wa kutatua tatizo.Kwa mujibu wa design tunatakiwa tuwe na basi kila baada ya dakika tano ,kwa sasa kwakua tuna upungufu wa mabasi ndiomaana hali haiko kama inavyotakiwa kuwa , lakini juhudi zinafanyika usiku na mchana na serikali yenu sikivu ya awamu ya tano kuhakikisha mabasi ya kutosha yanapatikana kwa awamu ya kwanza na awamu ya pili kule Mbagala ambayo iko katika hatua za mwisho za umalishaji.
Wanaonyesha wa care ukiona hivyo mzabuni mpya yuko mbioniTatizo si kuanzisha ukurasa hapa JF. Je, consistency ya kujibu na kuyafanyia kazi maoni mnayo?
Au mnajibu leo tu, ikishapita ndo kwaheri ya kuonana?
1. Ushauri wangu wa kwanza ni kwamba si sahihi nyie kujiita ''Mabasi Yaendayo Haraka (DART)'' kwa sababu hamuendi haraka bali mnaendesha mabasi yenu kwenye barabara yenu maalum, so mnaweza kujiita Dar City Bus/Transport kwa sababu hamna tofauti yoyote na UDA, ukiondoa kutembea kwenye barabara yenu (hivi barabara ni yenu au ni ya Umma??)View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: info@dart.go.tz.
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Suala hili linafanyiwa kaziMuwasiliane na TANROAD vituo vya kuanzia Kimara Stop over muweke shades za kukinga Jua na mvua kwa abiria.
Kheeeee!comments nzito nzito unaziruka,afu majibu yako ni mepesi mno...si mda utatoweka kabisa humu.naona dalili zote za kulemewa na maswali mazitoSuala hili linafanyiwa kazi
Suala hili linafanyiwa kazi
Dust bins zipo lakini katika baadhi ya mabasi zimeondolewa ama kwa kuibiwa ama kwa kuharibiwa , tunajitahidi mara kwa mara kuhakikisha zinakuwepo na zinatumika ipasavyo, suala la ulinzi wa mali za umma ni la kila mmoja wetu hivyo tujitahidi kuwa walinzi na wa mali za umma, nimesema hivyo kwasababu kuna watu wanadiriki hata kukata handle za kujishika ndani ya mabasi wakati abiria amesimama. Tuwaombe wananchi kuwa walinzi wa mali za umma na kuimarisha usafi kwa ujumla katika mradi wa DART.Zilikuwepo ila wafanyakazi wao wasio waaminifu walizihamishia kwenye majumba yao
Dart mwendokasi ni nani amewaroga?Tuko active na tunamaanisha na katika hili hatuna masharti kama wengine
Dart mwendokasi ni nani amewaroga?
Ni faida Gani mnapata mkichagua maoni ya watu wachache na kuamua kuyajibu wakati wengi wametoa malalamiko kero au maoni.
Ni hasara Gani mnapata mkijibu maoni na malalamiko ya watu wote?
Naomba unijibu nikicho kuandikia maana sisi hatukuomba tuwape maoni ila nyie wenyewe maana tulikaa kimya na hasira zetu mkaja kututibua nyingi zetu.
Mfumo wa rotation ni mbovu na sio system ni mtu anapanga ratiba manually.Kunge kuwa na software yenye magari yote ndio iongoze rotation.Pia wanaopswa kupumzika ni madereva sio magari.Kuwe na madereva wengi wanaogawana.Hii style ya dereva kumpuzika na gari kupumzikka sio kabisa.DART Mwendokasi Hamuwezi kuwa na utaratibu wa gari kuwepo kituoni kila baada ya say robo saa? Wakati mwingine watu wanasubiri gari haziji na zikija zimejaa. Hamuwezi ondoa hiyo kero kwa kuhakikisha kila baada ya dk fulani gari inapita kituoni?
Kuna dereva ana kauli chafu sana, aliwahi kumbana mtu mlangoni badala ya kumpa pole akamwambia umezoea daladala hii siyo daladala2. Kuna madereva wanajiona Miungu watu wanapita na "Out of Service" yaani.
Mtaweza kujibu maswali kwa kasi? Au mtakuwa kama Tanesco kila kitu "mtasema tuwaambie tulipo na namba zetu za simu" ndipo mtujibu au kama TTCL mtatuambia "subiri staff wetu aliyekwenda China kwenye mafunzo aje"DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.