DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu


Mkuu.

Tanzania, kama sio Afrika yote, hakuna aibu kwa mwanaume kumtongoza mwanamke.

Sanasana huyo mtumbuliwa ataonekana kidume zaidi mtaani.

Kumbuka, Zuma alikuwa na kashfa ya kubaka na bado akawa rais wa SA.

Kwa upande mwingine,
Clinton alimmendea Monica Zelewinsky, akaponea chupuchupu kuvuliwa urais wa USA.

Hilo “zigo la mavi” kwa kashfa kama hizi ni huko kwa “ mabeberu tu mkuu!
 

Mkuu hebu fikiria kama huyu jamaa ana mke na watoto watamuonaje?
Mimi JPM ni raisi wangu na namkubali sana.
Ila sijaona busara yake katika kumtumbua mshikaji. Jamaa ni kama mtoto wake angemtunzia heshima kiaina. Angesema tuu ni mtovu ni nidhamu ila kusema "wake za watu" kwa public sio busara sana pamoja na kwamba dogo kazingua.
 
Aiseeee
 

Mkuu.

Mh. Rais ameshajitanabahisha siku nyingi kuwa sio mtu wa kuiita koleo kijiko kikubwa.

Kwake koleo(beleshi) ni koleo tu. Basi!

Ni kweli kwamba dhana hii ya kuiita koleo koleo na si kijiko kikubwa si tamu masikioni mwa wengi na wakati mwingine inazua maswali mengi na kufanya suluhisho la tatizo lionekane kuwa na kasoro.

Lakini inatubidi tu kukubali kuwa kipindi cha urais ni kifupi mno kuweza kubadili hulka ya mtu mzima mwenye mambo mengi mazito ya kutekeleza kila siku kwenye ratiba yake. Katika hayo hili la kuongea wazi wazi mambo ya mahusiano ya watu wazima halina madhara ilimradi tu liwe na ukweli.

Hasara kubwa ya hii dhana itamkwapo na kiongozi mkubwa kama Mh. Rais ni kwamba inatoa nafasi kwa tafsiri za kila aina toka kwa wakosoaji wake na hata wachekeshaji tu.

Hii inamtaka rais, wasaidizi wake na wanaomuunga mkono kuwa na vifua vipana au ngozi ngumu la sivyo utakuwepo msongo wa kudumu kwa viongozi hasa katika kipindi hiki cha kupashana habari kupitia mitandao.
 
Bora Raisi kasema ukweli hadharani hii kuficha ficha ni unafiki wa wabongo kuficha uchafuzi
 
MASKINI MDADA KAJITAHIDI N APOZI ZOYEEE DUME LINAWAZA VYA WENZIE ..KHA KISUTU INAKUHUSU
SIKUHIZI WANAANZIA PALE ALAFU UNAAMBIWA MAHAKAMA HAINA MAMLAKA NDIO UTAELEWA KWANINI ENOCK ALIPAA MBINGUNI NA MWILI WAKE
 
Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
Victoire, with all due respect my sisiter I dare say this is misleading. I couldn't catch such statement in the entire speech of His Excellency The President. Would you mind strike off the post?
 
kama aliwahi kuonywa na raisi lkn bado akaendelea na tabia za kihuni basi huyu alikuwa hafai kabisaaa,
una onywa na kiongozi wako halafu unakaidi !!
kwa hatua aliyo chukuliwa dhidi yake na hakika hajaonewa


KAKUTANA NA HAYA MAZOEZIOO MAMAMAAAWEE


Your browser is not able to display this video.
 
Aisee GANZI tena kwa utovu wa nidhani!!!!!!!
Ama kweli ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…