DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Unaongea hivyo kwani wewe ndio Mwampamba, au alikutongoza wewe ukaona ni poa tu?
 
Huyo atakuwa aliingia anga za mtu. Kwani hajui kuna teuzi zinafanyika kulinda maslahi binafsi? Mtela Mwampamba akome kabisa maana kila akiona kinachong'aa anadhani ni halali yake. Aliingia vibaya. DC piga kazi sana kwa utulivu.
Daaa Jomba bado alikuwa akiendeleza zile tabia za Maviongozi ya chadema hahaha. Asimwige Mbowee yule ni mmiliki wa chama hana wa kumuuliza. Ukiiga kunya kwa tembo utaishia kupasuka msamba. Jamaa akitaka yoyote hacho moi labda kama hautaki ubungee
 
Kuna uwezekano mkubwa wa rushwa za ngono.
 
Ila kuna watu wana roho ngumu. Kumbe jamaa mpaka beat alishapigwa lakini wapi! Yani mukulu anakupiga beat kuhusu chombo ya wenyewe na bado unaendelea tu. Any way kasema atampangia kazi nyingine ila siyo Kisarawe 😁😁😁😁😁
 
Akipangiwa kisarawee atatafuma chakula ya mkubwa tenaaa...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na wale mapacha wa mobutu vip?
 
Grriii griiii griiiiii (phone calling)

Yeye: Mwanangu Mtela hujambo?

Mtela: Sijambo Baba.

Yeye: Mwanangu nakupongeza kwa kazi nzuri mnayoendelea kufanya lakini kuna mashtaka ninayo juu yako, unatembea na Mke wa mtu. Usimuone hivyo huyo ni mke wa mtu kwa hiyo nakuomba uache mara moja hiyo tabia.

Mtela: Mheshimiwa Mimi sitembei....

Yeye: Usinibishie Mimi ninazo taarifa kamili ninataka kuanzia leo uache!![emoji16]

Mtela: Sawa Baba.

Mtela aliacha kwa mwezi mmoja then akarudi kuonja tena, sasa leo kaumbuliwa. amesaliti ushauri wa Baba yake kama alivyoisaliti CDM.
 
Ila jamaa kakosea sana. Na mademu wote hawa mtaaani anaenda kupumulia kwa MzeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mzee alimuonya na bado ameendelea. Sasa anakula jeuri yake.

Funzo la Kwanza: Kaa mbali na anapokula Boss wako;

Funzo la pili: Mapenzi hayajawai kumuacha mtu salama. Hata uwe baunsa feelings zako za mapenzi huwezi kuzificha. Mzee leo kauanika ukweli hadharani kumbe maneno ya mtaani ni kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Katika hyo picha kuna jamaa huko nyuma nae anatakiwa atumbuliwe.
Anamuangalia Dc huku karegeza macho
 
[emoji23][emoji23]
Duh .!, Mkuu yeye alijuaje?
Hapo kashaleta tafrani kwenye familia ya huyo DAS

Sioni Kama ni wake za watu aseme kaingilia makoloni ya vigogo
 
Binafsi sisikitii kutenguliwa kwa DAS.

Ninachojiuliza kwa mleta uzi, kwenye tukio kubwa la kihistoria kama hili, hivi umeona kutumbuliwa DAS ndio headilne kuu kwenye tukio hilo?

Mbona hauipongezi Wizara ya Maji kupitia DAWASA kufanikiwa kutkeleza mradi mkubwa wa maji na kutatua kero ya ukosefu wa maji Wilayani Kisarawe iliyodumu kwa muda mrefu tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…