Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea hivyo kwani wewe ndio Mwampamba, au alikutongoza wewe ukaona ni poa tu?Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Daaa Jomba bado alikuwa akiendeleza zile tabia za Maviongozi ya chadema hahaha. Asimwige Mbowee yule ni mmiliki wa chama hana wa kumuuliza. Ukiiga kunya kwa tembo utaishia kupasuka msamba. Jamaa akitaka yoyote hacho moi labda kama hautaki ubungeeHuyo atakuwa aliingia anga za mtu. Kwani hajui kuna teuzi zinafanyika kulinda maslahi binafsi? Mtela Mwampamba akome kabisa maana kila akiona kinachong'aa anadhani ni halali yake. Aliingia vibaya. DC piga kazi sana kwa utulivu.
Masaliti huyo, kesha tumika sasa anatupwa! Usikute alitupa neno kwa kidoti......
[emoji16][emoji16][emoji16]imebidi nicheke tuu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna uwezekano mkubwa wa rushwa za ngono.Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Akipangiwa kisarawee atatafuma chakula ya mkubwa tenaaa...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila kuna watu wana roho ngumu. Kumbe jamaa mpaka beat alishapigwa lakini wapi! Yani mukulu anakupiga beat kuhusu chombo ya wenyewe na bado unaendelea tu. Any way kasema atampangia kazi nyingine ila siyo Kisarawe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na wale mapacha wa mobutu vip?wakati wa Mobutu, kuna ndugu yake Mobutu alimpenda mume wa mtu, huyo jamaa alikua ni mtangazaji wa habari, basi huyo ndugu yake Mobutu akamchukua jamaa kwa nguvu licha ya kuwa jamaa kaoa, mke wa jamaa alistukia tu mumewe kaenda kazini hakurudi na alipomtafuta alipewa onyo akae mbali nae, jamaa akateuliwa kuwa balozi wa Zaire huko Africa ya kusini nk mpaka akafa baada ya miaka hakuwahi tena kuonana na mkewe akaenda kumuoa ndugu yake Mobutu
mkewe hakuwahi hata kuona kaburi lake
Katika hyo picha kuna jamaa huko nyuma nae anatakiwa atumbuliwe.Mambo ni moto
View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.
Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.
Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.
Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.
Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Duh .!, Mkuu yeye alijuaje?
Hapo kashaleta tafrani kwenye familia ya huyo DAS
Sioni Kama ni wake za watu aseme kaingilia makoloni ya vigogo
nimecheka hadi nimejambaKagusa pasipogusika kudadeki ! usicheze na vya wakubwa utaumia .
mmoja alikua ni mke wa mtu lakini mumewe alipokufa ,Mobutu akamchukua pia,ndio hapo akawa amewaoa wote wawili na kuishi nao nyumba moja.na hata sasa nadhani wanaishi wote moroccoNa wale mapacha wa mobutu vip?
Binafsi sisikitii kutenguliwa kwa DAS.Mambo ni moto
View attachment 1490942
Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE
Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi hiyo.
Rais Magufuli amesema kuwa Katibu Tawala huyo amekuwa akikiuka kimaadili ya viongozi wa umma, hata kuchukua wake za watu.
Ameyasema hayo alipokuwa katika uzinduzi wa mradi wa maji Kibamba-Kisarawe uliogharimu Tsh Bilioni 10.6.
Pia katika uzinduzi huo Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo kwa kutokomeza ziro.
Soma pia: Mtela Mwampamba aondolewa Ubungo na badala yake awa DAS Kisarawe
Kumbe bado wako hai?mmoja alikua ni mke wa mtu lakini mumewe alipokufa ,Mobutu akamchukua pia,ndio hapo akawa amewaoa wote wawili na kuishi nao nyumba moja.na hata sasa nadhani wanaishi wote morocco