Jokate ana option mbili aolewe kama anataka kuendelea na siasa au aingie kwenye serious relationship which is public, ili watu waache kumchukulia poa.
Kama anaona hayuko tayari kuolewa au kumuonyesha mtu ambae yupo serious nae ajiingize tu kwenye shughuli zingine za kusaidia jamii kama past beauty queens wenzake nje ya siasa. Anayo exposure na connection za kutosha kuweza kupata funds za kufanya social activities sijui entrepreneurship zinazomgusa.
Kubaki Jokate kama pin up girl yule yule ambae jamii wana associate nae huku akiendelea na siasa ajivike moyo wa chuma, sidhani kama atachukuliwa serious.
Watu wapo tofauti mnaweza kuwa bar watu mia kesho yake akaonekana alie lewa mmoja tu, inawezekana kuna ma DC kibao single na wana mambo kushinda Jokate lakini awavumi. Kuna wakati mtu lazima ukubali for some reason unaonekana zaidi na lazima ujue unajikinga vipi.
Tatizo lenyewe she is so political ambitious ni vigumu kumkatalia yanayosemwa juu yake.