David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

CCM bado ni kuchafu! Mpaka kumpata mtu anayeweza kuisafisha CCM mbele ya wananchi ni vigumu! Pambaneni kwanza na mwenzenu MP Mpina anayewahenyesha ndiyo muwaze kumtumia Kafulila kupambana na Lussu.
Kama CCM inajiamini iruhusu Tume Huru ya Uchaguzi,Vyombo vya Ulinzi na Usalama visiingilie uchaguzi,nadhani kitakachotokea mnakijua.
Labda na Mimi Rai yangu Msaidieni Mama kumpata timu au mtu bora atakayemsaidia pindi kampeni zitakapoanza!
Mama hawezi kupambana na Lissu jukwaani.
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
BAshiru hana aibu mpaka ajitokeze kumshambulia Lissu?kifupi kinachohitajika ni katiba mpya mbona mnayachukulia simpo sana maisha ya watu kwa ajili ya matumbo yenu?CCM imechokwa na watanzania hata wewe mleta mada unaongea na watu na hilo unalijua ni ulafi na uroho tu ndio unawafanya mnajiropokesha mambo ya kipuuzi Time will tell
 
Lissu uongo kwake ni jadi
 
Katiba hata CCM tunataka shida Iko wapi?
 
Km unamwona huyo mropkojaji, aliyejaa matusi, mzushi, mwongo basi we ni mwehu unahitaji matibabu.
 
Kafulila ni noma, naomba tuone majibu ya Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…