David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

Daaah😭😭😭
 
Ni kweli kwa Kafulila Upinzani tulipoteza mtu muhimu sana
 
Muongo sana
 
Unajibuje hoja za cdm kaka bila bunduki hakuna wa kujibu hoja za cdm maana ni hoja zenye mantiki na zinaeleweka kwa wananchi to the inner parts of their hearts.
Ni aidha ccm wakubali kubadilika au la lazima tutajua uchafu mwingi zaidi utakaoifanya ccm ionekane ya hovyo zaidi
 
Kila mmoja anafahamu Lissu ni mtu mwenye akili na hoja sana mbaya zaidi anasaidiana kwa karibu na John Heche Pamoja Godbless Lemma hawa wote ni watu wenye hoja Kali,
Labda kidogo mno kwenye mambo ya kiuchumi.
Kwa hoja za Kikatiba tumbili hatoboi
 
Ni Kweli na Kafulila ni levels za hao akina Lissu
Sio kweli Mkuu, Kafulila maisha yake anayaendesha kwa kutegemea ajira ili apate ujira; wakati Lisu hujiajiri mwenyewe, hategemei ajira za Serikali na ndio maana ana uwezo wa kuwa upinzani.
Ni kweli kwa Kafulila Upinzani tulipoteza mtu muhimu sana
Ni mchumia turbo tu kama wengine ndio maana akachagua kuwa upinzani ili atoboe na hatimaye kupata ajira. Angekuwa upo humo humo ndani ya Chama, angendelea na mapambio ya zidumu! Aidha nampongeza kwa kuchanga karate zake vizuri; bali asitukane Mkunga wakati uzazi ungalipo.
 
Acha kuhangaika Kafulila ana mambo mengi mazuri kuliko Lissu
 
kingedele kinajitutumua manina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…