Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #81
Angekuwa anasaka maisha basi angekuwa ni bilionea kwa sasa kwa pesa za Escrow na madili mengine makubwa makubwa ya kifisadi. Lakini kwa kuwa kanyooja kama rula aliyakataa mapesa yote ya ufisadi na rushwa. Najuwa hata ninyi ma CHADEMA mnamkubali na kumuogopa sana Chuma kwa misimamo yake thabiti ya uzalendo kwa Taifa letu na mnatamani sana angekuwa huko CHADEMA kwa kuwa ndani ya CHADEMA nzima hamna mtu mwenye uwezo wa kiakili kama Chuma Kafulila.Mara nyingi huwa nakueleza Luca,uwe unaacha ujingaujinga. Huko mjini ndiyo mnakuwa wapuuzi hivyo?Kafulila hana tofauti na golddigger,opportunist fulani hivi.Anasaka maisha yake.Eti hazina!Hazina ya kijinga?
Huyo mtoa hoja ni mpiga zumari tu wa Wana ccmKazi yako ni kusifia mabwana zako tu. Mbona MBOWE , Zitto, Lipumba, Tundu Lissu, na wengine wengi huwasifii?
🤣🤣eti mtakatifuNasikia alimu -Escrow mpaka yule Mtakatifu eti alipiga pale kwa wasukuma ndio maana wanabifu lisiloisha
Kweli wee ni zaidi ya pipa la sokoniMheshimiwa Kafulila hajawahi kutafuta vyeo wala kuwa na uchu wa madaraka na hajawahi kuwa na dhamira hiyo .Kiu yake kubwa ni kuona taifa letu likistawi na kusonga mbele kimaendeleo. Anastahili kupewa nafasi zaidi ya kutumika kwa Taifa letu.
Huyu Chuma yeye huwa haangalii mtu usoni. Ukipinda tu lazima usagwesagwe kama kokoto.Nasikia alimu -Escrow mpaka yule Mtakatifu eti alipiga pale kwa wasukuma ndio maana wanabifu lisiloisha
Utaishia kuramba miguu ya wana siasa tu lkn kamwe hutopata teuzi[emoji2][emoji2][emoji2]Acha dharau zako mzee Johnthebaptist . WAZALENDO aina ya Mheshimiwa Kafulila wanapaswa kupewa nguvu na kuungwa mkono kwa nguvu zote kutumikia Taifa letu.
Jasili haachi asili Mtakatifu ni Polisi haachi kitu dadeki🤣🤣eti mtakatifu
Wewe mbabaishaji wa CHADEMA naona umekurupuka huko na vimiminika vyako kichwani vya wikendi nzima.Kweli wee ni zaidi ya pipa la sokoni
Nani alikudanganya walitaka kumpa hela?Hivi,ukikaa kwenye kijiwe chenu cha wachoma mkaa mnaamua tu kuanzisha uongouongo ili muda uende?Hela?Hela za ugoko wa paka?Angekuwa anasaka maisha basi angekuwa ni bilionea kwa sasa kwa pesa za Escrow na madili mengine makubwa makubwa ya kifisadi. Lakini kwa kuwa kanyooja kama rula aliyakataa mapesa yote ya ufisadi na rushwa. Najuwa hata ninyi ma CHADEMA mnamkubali na kumuogopa sana Chuma kwa misimamo yake thabiti ya uzalendo kwa Taifa letu na mnatamani sana angekuwa huko CHADEMA kwa kuwa ndani ya CHADEMA nzima hamna mtu mwenye uwezo wa kiakili kama Chuma Kafulila.
Labda uzalendo wa kupambania tumbo lako na ukoo wa panyaMimi si nilishasema mimi ni mzalendo na kazi yangu ni kuwaunga mkono WAZALENDO kwa Taifa letu? Embu niambie unaweza ukawa na shaka ipi juu ya uzalendo wa Mheshimiwa Kafulila kwa Taifa letu?
Huna ukweli wowote maana akili hunaMimi sisifii bali naongea ukweli japo unaweza ukawa ni mchungu kwa msiopenda kuambiwa UKWELI. Tujenge utamaduni wa kuwatia moyo na kuwaunga mkono wazalendo Badala ya kuwakatisha tamaa na kuwapa ushindi mafisadi
🤣🤣🤣ila Jf sihami aiseeAnabubujikwa na machozi muda huu.Luca ni hopeless material fulani hivi.
Akili kisodaKafulila, Makonda, ni vijana machachari wanaotakiwa katika kulikomboa na kulinyoosha taifa letu lililopinda kiuchumi.
Wala huwezi ukanikatisha tamaa katikakuwasemea na kuwaunga mkono WAZALENDO wa kweli wa Taifa letu aina ya Chuma David Kafulila.Utaishia kuramba miguu ya wana siasa tu lkn kamwe hutopata teuzi
Wachana na huyo mleviKwani hivi Sasa hayupo serikali? Au atumikeje labda?
Mkuu hivi kweli wewe na Kafulila ndumila kuwili kiongozi mnaweza kumtetea Rais na serikali yake, na unaamini kabisa kuwa unao uwezo huo!!! Haya buana Lukasi! 🤣 🤣 🤣Anapambana sana na anatakiwa kupewa nguvu ,kutiwa moyo na kuungwa mkono. Ikumbukwe siyo wote wanaofurahia kazi nzuri na ya kizalendo anayoifanya kuisemea serikali ya Rais Samia. Wengine wanapenda sana kuona serikali yetu na Rais wetu wakishambuliwa kwa nguvu bila kupata watetezi. Kwa hiyo wanapojitokeza watetezi aina ya David Kafulila wanakuwa wanaonekana kama maadui na wakwamishaji wa ajenda mbaya za siri Kwa Rais Samia na Serikali yake.
Muunge vyote tu siyo mkono mpe na vingineYupo vizuri sana na anastahili kuungwa mkono.
Ndiyo hapo unajinyesha kuwa wewe ni mweupe kichwaniKwani kwa mfano ukawa mtendaji wa kijiji .je unakuwa haupo serikalini? Je mchango wako unaweza kufika wapi kwa nafasi hiyo ya utendaji wa kijiji?
Ogopa njaa ikikupanda kichwaniDuh Luca umeamia kwa kafulula Sasa.
Kaka utajuta sana
Ila mwanangu unajua kusifia Lucas 🤣🤣Wala huwezi ukanikatisha tamaa katikakuwasemea na kuwaunga mkono WAZALENDO wa kweli wa Taifa letu aina ya Chuma David Kafulila.