BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jibu sahihi.Aisee Ina maana ukihitajika kuchomwa sindano ununue hata syringe au mimi ndio sielewi...?
Watu tukisema tunaonekana wabaya na watu tunapinga kila kitu 😀😀😀🫣🫣🤐🤐🤐🤐🤐..
Ukute na yeye kwenye mgao wa hizo bilioni 40 yumo...Huo mfuko wa bima ya afya kwishinei. Waziri mkuu anapambana na muhasibu wa Serikali za mitaa aliyekula milioni 200 anawaacha watumishi waliomega na kujikopesha zaidi ya bilioni 40 za mfuko wa bima ya afya ambazo ni bajeti ya kutosha ya dawa na vifaa tiba