Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Bahati mbaya hawategemei Kura zetuWacha mambo yaende hivi hivi,yabane haswa ili kipindi Cha uchaguzi watu wajue mbivu na mbichi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya hawategemei Kura zetuWacha mambo yaende hivi hivi,yabane haswa ili kipindi Cha uchaguzi watu wajue mbivu na mbichi.
Hapo ni mfuko unalindwa kwa gharam yoyote hata ikibidi kuuwa watanzaniaHuo mfuko wa bima ya afya kwishinei. Waziri mkuu anapambana na muhasibu wa Serikali za mitaa aliyekula milioni 200 anawaacha watumishi waliomega na kujikopesha zaidi ya bilioni 40 za mfuko wa bima ya afya ambazo ni bajeti ya kutosha ya dawa na vifaa tiba
Ndio wanachotaka Kwa kuwa Wana Hisa na ni Wamiliki wa hayo makampuniKam ka utakuwa na uwezo kidogo Bora kujiunga na bima za makampuni binafsi za AAR ama nyingine tu, hizi bima zetu za kinyonge za NHIF tutajikuta tunafia hospitali Kwa kukosa dawa 🙌😭
Nchi imegeuka ya Matajiri hii saivi
Kwa nchi ya watu wanaojielewa hii ni agenda Tosha inayoweza kuiangusha serikali iliyopo madarakani, raia bila kushinikizwa wanaingia Barabarani kupinga huu upuuzi, hivi Rais anapata vipi nguvu ya kutaka kuendelea kuongoza wakati nchi imeshamshinda?View attachment 2934578
Inawezekana leo tukaona hawa wanaharakati wanaopiga mbinja kana kwamba wanasaka umaarufu. Lakini tupime haya mambo yanayozungumzwa with facts. Na tumeona namna ambavyo Waziri wa Afya akitoa fafanuzi mbalimbali wakati wa tangazo la Mgomo wa watoa huduma za afya binafsi dhidi ya ujio wa Kitita kipya cha Bima ya Afya NHIF.
Serikali, inapaswa kuwajali wananchi wake linapokuja suala la msingi kama afya. Lakini endapo serikali inafanya jambo lenye muelekeo wa kutumia hitaji muhimu la Afya za watu kama mtaji wa kuvuna kutoka kwa wananchi ni wazi serikali hiyo itakuwa haijali na hailindi maslahi ya wananchi ambao ndiyo nchi yenyewe.
Mpaka sasa, hakuna aliyewajibika kwenye uchotwaji wa mabilioni ya fedha kutoka mfuko wa Bima ya Afya (NHIF). Na wale wale wanaonyooshewa vidole kuhusu ubadhirifu huo ndiyo wamekuja na hii scheme ambapo kwa wataalam wa intelejensia jamii tunaona ni kama kuhaha kutaka kufidia upotevu ulioripotiwa na CAG.
Kuondoa dawa 178 na vifaatiba 15 kwenye kitita kipya cha NHIF haimaanishi kwamba watakaoathirika ni watoa huduma za afya binafsi, bali ni sisi wananchi ambao tunawajibishwa (LAZIMA) kisheria kulipia Bima ya Afya.
NI LINI WATANZANIA TUTAKUWA SERIOUS KWENYE MAMBO YA MSINGI?
Tubadilike. Waziri wa Afya siyo mwenzetu kwenye hili. Hana huruma kwa Watanzania na hili linaloendelea ni jibu tosha la namna watawala wetu wasivyoishi na Tanzania mioyoni mwao.
Na kupambana Ku Host AFCON wakati mahospitalini watu wanakufa hakuna dawaNgona kwanza tumalize CAF
Duh..
Kuna upuuzi mwingi sana unaendelea.Kwa nchi ya watu wanaojielewa hii ni agenda Tosha inayoweza kuiangusha serikali iliyopo madarakani, raia bila kushinikizwa wanaingia Barabarani kupinga huu upuuzi, hivi Rais anapata vipi nguvu ya kutaka kuendelea kuongoza wakati nchi imeshamshinda?
Ccm ni Janga la DuniaNa kupambana Ku Host AFCON wakati mahospitalini watu wanakufa hakuna dawa
Hakuna wakati Bima ya Afya NHIF ilikuwa na thamani kama enzi za JPMNdio wanachotaka Kwa kuwa Wana Hisa na ni Wamiliki wa hayo makampuni