Watu tukisema tunaonekana wabaya na watu tunapinga kila kitu [emoji3][emoji3][emoji3]π«£π«£[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]..
Mama anauchapa Mwingi sana.. Sio?
Unaondoa Aminophiline Tabs na Injection, Beclomethasone +salbutamol inhaler ,Beclomethasone inhaler,Budesonide +Formeterol inhaler
Unategemea Mgonjwa wa Pumu "Emergency case" utamtibu kwa Dawa ipi kwa ngazi za Chini?
Unaondoa amlodipine,Atenolol,Valsatan,Atenolol+Nifedipine, isosorbide mononitrate tabs,
Metformin 400 +Glibenclamide 2.5mg..
halafu kutea kujisifu kuwa wagonjwa wa Presha na sukari na wenye matatizo ya moyo kutibiwa Kwa Kitita kipya Sasa kwa dawa zipi?
Kwa malaria unaondoa..
Artemether inj 40mg/0.5ml
Artemether lumefantrine syrup
Artemisinin & piperaquine tabs
Artesunate & Mefloquine tabs
Artesunate &Metakelfin tabs
Artesunate &Naphthoquine tabs
Artesunate inj 120mg, 30mg
Artesunate rectal suppositories
Quinine all dosage forms
Sulfamethoxypyrazine & Pyremethamine tabs (SP)
Nado huridhiki unaondoa Chloroquine tabs for sickle cell prophylaxis "Unawatakia Nini wagonjwa wa Sickle cell"
Kwamba mmewachoka sasa mnataka wapungue???
Halafu kuna Mtu anakuja anashout Kitita kimeboreshwa M****** zake ataona watu watakavyokipata cha Mtema kuni..
wallah hakuna Mchawi