FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Paracetamol naona haipo kwenye list, itakuwa ndio hiyo imebaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado wamekopa trillion 30 ndanni ya miaka miwiliKwa kifupi hapo ni mwendo wa panadol Tu ndiyo imebaki
Kisha lawama zielekezwe kwa madaktari kwamba wanasababisha vifo kizembe.Watu tukisema tunaonekana wabaya na watu tunapinga kila kitu [emoji3][emoji3][emoji3]🫣🫣[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]..
Mama anauchapa Mwingi sana.. Sio?
Unaondoa Aminophiline Tabs na Injection, Beclomethasone +salbutamol inhaler ,Beclomethasone inhaler,Budesonide +Formeterol inhaler
Unategemea Mgonjwa wa Pumu "Emergency case" utamtibu kwa Dawa ipi kwa ngazi za Chini?
Unaondoa amlodipine,Atenolol,Valsatan,Atenolol+Nifedipine, isosorbide mononitrate tabs,
Metformin 400 +Glibenclamide 2.5mg..
halafu kutea kujisifu kuwa wagonjwa wa Presha na sukari na wenye matatizo ya moyo kutibiwa Kwa Kitita kipya Sasa kwa dawa zipi?
Kwa malaria unaondoa..
Artemether inj 40mg/0.5ml
Artemether lumefantrine syrup
Artemisinin & piperaquine tabs
Artesunate & Mefloquine tabs
Artesunate &Metakelfin tabs
Artesunate &Naphthoquine tabs
Artesunate inj 120mg, 30mg
Artesunate rectal suppositories
Quinine all dosage forms
Sulfamethoxypyrazine & Pyremethamine tabs (SP)
Nado huridhiki unaondoa Chloroquine tabs for sickle cell prophylaxis "Unawatakia Nini wagonjwa wa Sickle cell"
Kwamba mmewachoka sasa mnataka wapungue???
Halafu kuna Mtu anakuja anashout Kitita kimeboreshwa M****** zake ataona watu watakavyokipata cha Mtema kuni..
wallah hakuna Mchawi