'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

Ngona kwanza tumalize CAF
 
Hakuna cha kulipuka
Utalipuka wewe
Ngoja tulambe asali sisi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Walala hoi hatuna nguvu tena. Hatuna wa kutusikiliza.

Angalia walivyo haribu uchaguzi wa 2020. Waliiba kura wazi wazi na hatuna cha kuwafanya.
Hatuna tena uwezo wa kukemea viongozi wetu kwa maana hatukuwachagua na hawaogopi kitu.
 
Walala hoi hatuna nguvu tena. Hatuna wa kutusikiliza.

Angalia walivyo haribu uchaguzi wa 2020. Waliiba kura wazi wazi na hatuna cha kuwafanya.
Hatuna tena uwezo wa kukemea viongozi wetu kwa maana hatukuwachagua na hawaogopi kitu.
Kila ubaya utalipwa
 
NIKIWAAMBIA KUWA SAA MIA MOJA MBOVU NI MAFII WAPUMBAVU MNASEMA NATUKANA[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] this thing is shit [emoji90][emoji90][emoji90]
 
Tuna nchi nzuri sana ila tunao viongozi wa hovyo na jamii ya hovyo isiyoelimika
Siyo isiyoelimika tu, bali pia isiyo na akili kwa asilimia kubwa. Wengi wa wahitimu wa shule hadi vyuo vikuu hawajui jema na baya kimantiki.
 
Hakuna mazingira ya kuongea kinyume na mipango ya serikali ama mawazo ya viongozi, kufanya hivyo ni kujiweka hatarini kukamatwa na polisi wanaotii maelekezo kuliko sheria(ni hao hao waliolinda maandamano ila ni hao hao wakiambiwa wapige waandamaji wanatii), kosa utalokamatiwa ni uchochezi, haitoshi hapo tu lakini kama una biashara zako zinaweza kuvurugwa, kama ni muajiriwa serikalini kibarua kinaota nyasi, kumbuka hapo una family inakutegemea, thats why hata support zetu zinalazimishwa sio kwa hiari bali kwa fear ya kuharibiwa maisha na serikali ambayo ina unquestionable decissions + no accountability.

Suala hapa ni mazingira ya kutoa maoni, kukiwa na mazingira yenye kuruhusu free speech watu tutamwagika sana tu ila kwa sasa ni kurisk kuwa kilema, kufungwa jela, kufilisiwa, kuziacha familia, n.k.

Till then wacha tujadili soka, mapenzi, kusifia viongozi involontarily, n.k. hivyo ndivyo vitu tunaweza zungumza kwa uhuru,

Yanga wapewe kombe lao mapema, Tujuzane mbinu za kuchelewa kufika kileleni, Tatizo la mgao wa umeme litakuwa historia mwaka huu kama tulivyoahidiwa na serikali yetu sikivu.
 
Wacha mambo yaende hivi hivi,yabane haswa ili kipindi Cha uchaguzi watu wajue mbivu na mbichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…