'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

Duuh...! Hii ni aibu kubwa kwa Taifa hili. Halafu ametulia anaangalia tu. Yaani mpaka ile dawa ya buku ya macho ya matone?. Hivi hiyo cabinet inayokaa kujadiri haya ina kuna kitu wamebakiwa nacho fuvuni?.
Waalimu mlio wengi shtukeni mishahara yenu inayokatwa huko NHIF inaenda bure
 
Kisha lawama zielekezwe kwa madaktari kwamba wanasababisha vifo kizembe.
Mungu aturehemu,atuepushe na magonjwa yote [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…