Inaponyesha kabisa au inatuliza tuu?
Leo ndiyo nimejua kuwa masai uwa wanapanga vyumba maana sikuwahi jua wanakuwaga na magetoWamasai dawa zao nzuri sana Ila sio hawa WA mjini sikuizi wanachakachua Hadi wao.. Inabidi uwatafute wale WA porini kabisa..
Nakumbuka Nilikuaga na ugonjwa WA ngozi nilisumbuka nao Sana mahospitali karibu miaka mitatu kama sio minne.. Kuna mmasai mmoja alikua mpangaji wetu aliniambia nikienda nyumbani nitakuletea dawa,, kweli alinitelea unga flani hivi nikawa nakunywa kila siku asubuhi na jioni ndani ya mwezi mmoja tu nilipona na makovu yote yalifutika, nimekua na ngozi nyororo kama ya mtoto mdogo.., na ninaitunza dawa ninayo Hadi Leo Hua nakunywaga mara chache chache isiishe[emoji3526][emoji3526]
Jamani Wewe😃😂😂Leo ndiyo nimejua kuwa masai uwa wanapanga vyumba maana sikuwahi jua wanakuwaga na mageto
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Geto la Masai wanapolinda wenzao usiku ndio maskani Yao, Shuka na godoro wanavyo mwilini.Leo ndiyo nimejua kuwa masai uwa wanapanga vyumba maana sikuwahi jua wanakuwaga na mageto
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kabisa kaka na mimi nilijua hivi sasa niliposikia eti alipanga kwao Leejay49 nikabaki nimeduwaaGeto la Masai wanapolinda wenzao usiku ndio maskani Yao, Shuka na godoro wanavyo mwilini.
Sio kila Masai wanavaa mashuka jamani,, huyo alikua smart Sana na anafanya kazi bank, sio wale WA kutembea barabarani😃😃Kabisa kaka na mimi nilijua hivi sasa niliposikia eti alipanga kwao Leejay49 nikabaki nimeduwaa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kwani wamasai wote Ni walinzi mkuu??Geto la Masai wanapolinda wenzao usiku ndio maskani Yao, Shuka na godoro wanavyo mwilini.
Cha kuongezeaBadikisha Mazingira, miaka fulani nilikuwa nakaa Makete vidonda vilikuwa vinawasha tanuru la moto tumboni, full kujaza gesi. Nikapewa kila aina ya dawa hospital na kienyeji waaapi. Nikaja kugundua nikiwa Dsm sipati ahida sana, nikahama huko. Sikuwah kuvisikia wala kuviona.
Hata mimi hii ilinisaidia.Pilipili
Elezea.Hata mimi hii ilinisaidia.
Hata mimi kuna bibi mmoja ndio alinielekeza hii dawa, haki nilihisi anatania🤣🤣Nilishawahi kuugua vidonda vya tumbo. Nimepona kwa kula pilipili kali za mwendokasi.
Watu wengine wenye uelewa wa haya mambo watakuja kufafanua tiba ya pilipili.
Hunijui sikujui sina sababu ya kukudanganya
Basi huyo ulimpangisha mmasai wa ukoo wa lowasaSio kila Masai wanavaa mashuka jamani,, huyo alikua smart Sana na anafanya kazi bank, sio wale WA kutembea barabarani[emoji2][emoji2]
Relcer ni anti acid....na hiyo ingine zote ni kupoza.uko.sawa hapo hakuna dawa ya kutibu ila kupoza.Lakini nahisi dawa direct ya kuponya haipo hata waziri mkuu wa japan alivojihuzuri aligusia vidonda vya tumbo kumsumbua
Aisee😃😃
Juice ya ukwaju ni sahihi mi nilikuwa natumia sana baadae hospitalini walinambia haifai kwanguMaziwa mtindi ni mbabe wa kutoa gesi tumboni, ukigonga glasi 1 au 2 asubuhi na jioni kila siku lazima ujambe vya kutosha na kutoa haja kubwa mara 2 kwa siku ambapo ndiyo utaratibu sahihi kiafya, ukishindwa sana juisi ya ukwaju nayo ni njema sana.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nilivyoanzaulivo acha au ulivoanza
Kabisa kaka mi niliteseka sana nikaamua tu kunywa bia na liko poa kabisaIla mwanangu mbona kama bia ni tiba iv !! Unajua watu wanaona kama masihara ivi ,ila kuna namna inasaidia [emoji848]
Naipataje hii na inaitwajeHayawi yekundu, ni nyeusi kabisa kama masizi ya mkaa.. Nimeanza kunywa chai yake inakaribia wiki ya tatu sasa naona niko vizuri
Endelea kusoma comments,nimeweka na picha unaweza kuwauliza wamasai walio karibu nawe wanaweza wakaijuaNaipataje hii na inaitwaje