Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

Sawa fanya alafu utaniambia shida nini, kuna vidonda vya tumbo alafu kuna Gastritis. Fanya endoscopy itatupa majibu kamili.
Na Kuna kile kipimo kama unakunywa uji hivi unakunywa halafu kwenye screen inaonesha tumbo lako kwa ndani hata kama vipo kwenye utumbo vitaonekana ile endoscopy inaogopesha aisee na ile ganzi wanavyopuliza mdomoni unatamani kukimbia🤣😭😭😭
 
Mbona unaniogopesha mkuu😨😰
 
Hahaha. Ule uni unaitwa "barium meal" 😄
 
Kina itwaje hicho kipimo na ni bei gani ?!
 
Kuna mda maumivu ya mgongo na vichomi unapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…