Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Wana bei Sana dawa zao, lakini kupona uhakikaNi sahihi kabisa milikuwa naumwa tambazi hadi meno n kichwa kuuma nikatafuta dawa sana baadae nikamwomba mlinzi mmasai anitafutie dawa aliitafuta akasema 80k nikasema kama nitapona nalipa na mzee muuza dawa yupo moro kijijini alisema utalipa ukipona wiki moja tu sijapata maumivu tena