nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Tatizo siyo chuya ama mchele...Siasa za kiafrica zinachagua makapi na kuacha mchele, ukiwa mchele huteuliwi, wanataka makapi yanayosema ndiooo kwa kila kitu, ili wasiharibu ulaji wa wakubwa, huko Duniani wenzetu kiongozi ni yule ambaye ni bora zaidi kuliko walio Bora, wazungu kila wakiona viongozi wetu wanacheka sana, kwamba Kama Hawa ndio viongozi je wananchi wao wakoje,
The Bold ametoa ushauri mzuri sana ,pia tuna matrilioni ya cubic meters ya maji chini ya ardhi hatuyatumii ,tunachojua ni kununua maV8 /V12 kwa ma RC,DC,DED,RAS,DAS,W ,NW,RAC,J,JM,S,NS,K wizara zote,SNR OFCERS ALL etc nchi nzima unawanunua gari za 400m achilia mbali maintenance costs!!!
Kwa mfumo huu tulio nao sasa, hata wewe mwenyewe "uliye mchele original" ukibahatika kuingia ndani ya mfumo huu, ghafla tu mfumo unakubadilisha na kuwa chuya original zisizofaa kupikwa wala kuliwa kabisa...!
Nchi hii shida sana.tumejikita kuwekeza kwenye anasa za viongozi na siyo kutatua changamoto za umma
Ilikuwaje kipindi cha utawala wa Magufuli mvua zilinyesha kwa wingi hadi kimo cha ziwa Tanganyika na Victoria vikaongezeka? Nini kimetokea baada yake maana ni kama mvua zimeanza kukata kiaina? Je Magufuli alikuwa na kibali gani kwa Mungu ambacho huyu wa sasa hana!? Je nikwasababu jina la Mwenyezi Mungu halitajwi sana kama ilivyokuwa? Mniwie radhi najaribu kuwaza tu!
Nilitaka kumjibu hivi, hata huo mchele pure ukiingizwa kwenye system soon unabadilika kuwa chuya na mawe.Tatizo siyo chuya ama mchele...
Tatizo ni mfumo wa kisiasa na kiutawala wa nchi yetu ambao unalea chuya...
Kwa mfumo huu tulio nao sasa, hata wewe mwenyewe "uliye mchele original" ukibahatika kuingia ndani ya mfumo huu, ghafla tu mfumo unakubadilisha na kuwa chuya original zisizofaa kupikwa wala kuliwa kabisa...!
Tunataka mfumo wa kisheria na kikatiba ulio strong kiasi cha hata kama pumba zitaingia ndani mfumo wa kiutawala na kisiasa wa nchi, uzibadilishe pumba hizo mchele original ufaao kupikwa na kuliwa na VIP...
Mkuu wa nchi ni kilaza,na yeye anateua vilaza,hata akiteua mwenye akili,hataweza kutumia akili zake,maana lengo na kipaumbele cha ccm,ni kubaki Madarakani kwa mbinu zote,Siasa za kiafrica zinachagua makapi na kuacha mchele, ukiwa mchele huteuliwi, wanataka makapi yanayosema ndiooo kwa kila kitu, ili wasiharibu ulaji wa wakubwa, huko Duniani wenzetu kiongozi ni yule ambaye ni bora zaidi kuliko walio Bora, wazungu kila wakiona viongozi wetu wanacheka sana, kwamba Kama Hawa ndio viongozi je wananchi wao wakoje,
Wana sikiliza basi hawa ahhh we lipa kodi tuSafi sana, unaona faida za mitandao ya kijamii habari kama hii mungeiweka TBC au gazeti la uhuru mimi nisingeiona, lakini kupitia JF nimeiona, hongera sana.
Sasa, muwe mna toa ushuhuda kwa viongozi wa kisiasa kuwa mitandao ya kijamii na hasa JF inasaidia sana kufikisha ujumbe kwa wananchi wengi
Tunashukuru sana Dawasco kutuwekea huduma hii, nimejaribu kuangalia watu wote wliotoa maoni lakini sijaona majibu yenu. Nami natoa maoni yangu kama ifuatavyo, mmetrutangazia mgao wa maji lakini kuna sehemu hapa kimara mwisho, Kata ya Saranga King'ongo kuanzia Mengeni Msikitini mpaka Samaki Samaki tangu mgao umeanza hatujapa maji. Lakini wenzetu walio tuzunguka wanapata maji. Tafadhalini tunawaomba sana maji tunanua sh 40000 kwa lita 1000 na hatujui usalama wake. Tunaomba (japo ni haki yetu) mtupatie maji kama ratiba inavyosema.Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866