Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hamna kitu hao hawajui alipoUtashangaa wanapretend tu kutokufahamu alipo kumbe wanafahamu
Mkuu, Gwaji si wa kwanza kutojulikana alipo. Kuna ambao mpaka dau la kujua walilipo lilitolewa.Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkonono wa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanyaa kweli gwaji boy ni moto wa kuotea mbali anaogopeka vibaya sana
nimkamate mzinifu kwasabb gan gentleman 🐒Kamkamate kama unamuweza
Gwajima Yuko mbele miaka 2, you think alikurupuka ?Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkonono wa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanyaa kweli gwaji boy ni moto wa kuotea mbali anaogopeka vibaya sana
Jamaa ni hatari sanaGwajima Yuko mbele miaka 2, you think alikurupuka ?
Aisee Sasa huo mkono mrefu wanaousema ni kwamba umekatwa auMkuu, Gwaji si wa kwanza kutojulikana alipo. Kuna ambao mpaka dau la kujua walilipo lilitolewa.
No no thank youKuna mengi yanaendelea, kuliko Yale unayoyaona,
Hili swala la gwaji boy, linaweza likawa kiinimacho kimetengenezwa na ccm, kwanini!?
Swala la Lisu na mateso ya kutisha waliofsnyiwa wanaharakati wa Ug na Kenya, limeleta joto Kali Sana kwa samia na ma ccm wenzake, sasa ili kupunguza ukali wa hayo Mambo katika kujadiliwa Sana, inability itengenezwe "bongo muvi" ndio hili swala la gwaji sasa!
Sasa hv watu wanamuongelea gwajima kuliko Lisu,
Kesho utasikia Mond kamuacha Zuchu, Zuchu kaondoka wasafi kaenda kwa Kings music!
Kumbe wana uwezo wa kumkamata yeyote wakimtafuta sio? Sasa mbona walio mshambulia Lissu mwaka wa 7 huu hawashikwi? Au kwa vile mkono wa kulia hauwezi kushika wa kushoto? Mdude, Soka na waliomuua Kibao hawawashiki ina maana wanawajua ila ni wenzao?ni nani anamhitaji gwajima gentleman? anatafuta kiki ya kijinga sana dah!
na mbona amejificha kichwa tu mgongo uko wazi?Tz unajificha wapi ikiwa unahitajika?🐒
Labda si mrefu kihivyoAisee Sasa huo mkono mrefu wanaousema ni kwamba umekatwa au
Dogo Yuko mikono salama.Hii ni aibu ya mwaka serikali mkono wake mrefu ila imeshindwa kujua chimbo alilopo gwajima mpaka Leo wanahaha tu hivi ni kweli serikali inamkono mrefu au ndio mkono wa mbilikimo maana gwajima anatamba tu na hamna mnalomfanyaa kweli gwaji boy ni moto wa kuotea mbali anaogopeka vibaya sana
nani anamhitaji gwajima hata akamatwe gentleman?Kumbe wana uwezo wa kumkamata yeyote wakimtafuta sio? Sasa mbona walio mshambulia Lissu mwaka wa 7 huu hawashikwi? Au kwa vile mkono wa kulia hauwezi kushika wa kushoto? Mdude, Soka na waliomuua Kibao hawawashiki ina maana wanawajua ila ni wenzao?
Siku nchi hii ikikombolewa yatajulikana mengi na watu wata zimia kwa yatakayo ibuliwa na wanaccm uchwara watakufa kabisa kwa mshangao maana hawaamini kuwa hilo dude ni Lucifer mwenyewe
KumbeSerikali yenyewe ni pande mbili wengine hawapendi kabisa huu utekaji na mauaji wamo ndani ya mfumo.
Wameenda kuzuia watu wasiabudu.Kumbe kwenye kanisa lake walifuata nini
We ukisikia mkono mrefu unaelewa nini dingii..?Aisee Sasa huo mkono mrefu wanaousema ni kwamba umekatwa au