Kwa hiyo, kulikuwepo na "tatizo" ndio maana, baada ya kufikiri "kwa dakika moja" ukaamua kuondoka kijijini na kwenda Arusha.Sasa yule jamaa alipoondoka mimi nikafikiri[ kwa dakika moja], halafu nikaamua kuondoka Butiama.
Polisi.Hilo neno jingine ni chawa.
Hawezi kumwelewa Andrew,atarudi pale Msasani kwa Mama kimyaa.Elewa codes mkuu😅
Anzia mwalimu na wanae hasa wavulana wakiwa wadogo enzi zile.Wana kero Gani?
Duh! Kitambo sana, nakumbuka picha za mtu huko zaidi ya miaka 10 iliyopita.Nilikuona New Mexico unaenda kukagua Trinity pale.
Sawa. Tunakwenda Mirembe. Yule jamaa Kwanza ngoja nilitafute jina lake na picha yake ili nijue ni nani.Wewe na yeye kafanyeni admission Mirembe
Hapa Arusha hakuna matatizo. Kule Butiama zipo petty problems in the family zinazofanya haya matatizo yatokee.Kwa hiyo, kulikuwepo na "tatizo" ndio maana, baada ya kufikiri "kwa dakika moja" ukaamua kuondoka kijijini na kwenda Arusha.
Sasa itakuwaje, endapo DC wa huko Arusha na yeye akiamua mtoto aondoke huko!
Wewe umemuelewa?Huyu Andrew kumuelewa unatakiwa uwe umetulia sana kiakili, unaweza kudhani jamaa hayuko vizuri kichwani kumbe wewe ndie akili ndogo imeshindwa kumuelewa.
Oppenheimer nimeitazama filamu yake, masaa matatu yaliyoshiba.Kaka mkubwa Poppy Hatonn karibu US tuzungumze habari za Oppenheimer na tafsiri ya Dhammapada kwenda Kiswahili.
Duuuu, nikiisoma hii kwa jicho la tatu nimeelewa kivngine kabisa...km mstaafu alieng'atuka kistaarabuKama kuna tatizo mtu anatakiwa kuniambia. Kuna tatizo.
Unakumbuka jana au juzi au lini,ulifanya nini? Ulifanya hivi na hivi. Unabisha?
Kwa hiyo nakutaka uondoke kijijini.
Sasa I have not been charged with anything. Hata sijui nijibu nini.
Kwa hiyo I have to be silent. I have nothing to say.
Na hata kama yule mtu ananieleza complaint zake ni nini. I will only answer serious complaints. Siyo mambo ambayo watu wanazungumza kwa maskhara.
Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.
100%Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.
Sawa. Tunakwenda Mirembe. Yule jamaa Kwanza ngoja nilitafute jina lake na picha yake ili nijue ni nani.
Pannasekara ameipamba Temple kwa nukuu za Dhammapada ambazo amezitafsiri Kiswahili.Oppenheimer nimeitazama filamu yake, masaa matatu yaliyoshiba.
Mkuu wa wilaya anataka kumuweka anayempenda yeye hapo bomani kwa Mwl.DC amefanya over reaction.
Alipaswa kukuita akueleze anachokisikia ama kukifahamu kisha akupe haki ya kusikilizwa.
Anyways tuyaache. Vp US wanaendeleaje
Hizi codes hata wewe hujazielewa ?...Baadhi ya watoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, ni issues!, mmoja wao tunaye humu JF, usiwaamini sana maana...
Naomba nisimalizie kwa heshima ya Mwalimu!.
P
Ndio jambo nililokuwa nafikiria jana nilipotazama CNN. Walikuwa wanasema the Ukraine-Russia conflict has no clear end in sight,jambo la kuwafanya watakatifu wa Mungu kutabasamu. How can the conflict have no clear in sight. Putin and Zelensky should be sent to a mental hospital.Sawa, fanyeni Haraka.