DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

Mkuu Shark , mimi sio wa Masaki ni wa Msasani, huyu jamaa kanizidi umri, mimi ni rika la mdogo wake tulikuwa same class Tambaza.

P
Naona umekwepa kujibu swali la msingi uliloulizwa hapo. Kwa wenye utulivu wa akili, tayari umetoa jibu indirectly!

Turudi kwenye mada. Kama DC hamtaki mtoto wa baba wa taifa hapo "Butiama", si angemuondoa tu kistaarabu bila kelele zote hizi na kusingiziana ulevi?

Au wewe ni mmoja kati ha hao ambao"wakitukana shenzi, wanalipwa milioni"?
 
Ongea vizuri broo,haiwezekani ufukuzwe bila sababu,kuna namna,DC hawezi kukurupuka kumuonea raia bila sababu
 
Kwa hiyo nakutaka uondoke kijijini.
Sasa I have not been charged with anything.
Huwezi ku stand trial, you are incompetent. Established in decades-old government records.

Obviously DC ni mtoto mdogo kuyajua haya lakini alishakuwa debriefed kutumia "busara" na sio sheria.

Tena mshukuru DC. Japo ameazima ukurasa kutoka kwenye kitabu cha Baba, she watered it down a bit. Baba yeye alipokuwa anahamisha problem citizens alikuwa anawakabidh kwa balozi wa shina na OCD. Wewe huko Arusha huna restraining orders usitoke wilayani au uripoti kwa balozi wa shina every freaking Monday morning.

Being the oldest scion of the longest running Tanzanian autocracy, few living citizens know these infamous chapters our history better than you.
 
Unasema DC kule ni mwanamke?
Well,wewe umenitukana sana hapa.
Baadaye labda nitaandika kitu hapa. Now I am too tired.
Wewe,take care of yourself.
 
Huyu Andrew kumuelewa unatakiwa uwe umetulia sana kiakili, unaweza kudhani jamaa hayuko vizuri kichwani kumbe wewe ndie akili ndogo imeshindwa kumuelewa.
Wewe umemwelewaje?
 
Unasema DC kule ni mwanamke?
Well,wewe umenitukana sana hapa.
Baadaye labda nitaandika kitu hapa. Now I am too tired.
Wewe,take care of yourself.
Ambao hawajakuelewa hadi hapa ndugu Endrew watakuwa na matatizo makubwa sana😊😊😊
 
Mdogo wake yupi uliyesoma naye Tambaza?!
Sio vizuri kutaja taja majina ya watu, ila Tambaza O- Level Class of 1982-85 tulikuwa class moja na mtoto wa Nyerere tena the same class na mtoto wa Ben, huku Binti Malecela na mtoto wa Mwinyi wakiwa A-level PCB!.
P
 
Unasema DC kule ni mwanamke?
Well,wewe umenitukana sana hapa.
Baadaye labda nitaandika kitu hapa. Now I am too tired.
Wewe,take care of yourself.
Sijakutuna.

You were never employed. You are a public charge. Information of any public charge is public record.

Kodi zangu zimetumika kukutunza kwenye mahekalu ya Ikulu kwa sababu ulikuwa na cognitive afflictions.

Tena ushukuru ubini wako. Millions of handicapped citizens of this kleptocratic country can only dream of getting public assistance.
 
Mwandiko wa hoja ni wa Mwalim Nyerere huu hasa Sentensi ya mwisho.
 
Infamous chapters? Hujasikia Vatican wanataka kumtangaza Mwalimu kuwa saint.
Which they can kama isingekuwa matatizo ya nicompoops kama huyu DC.
 
Infamous chapters? Hujasikia Vatican wanataka kumtangaza Mwalimu kuwa saint.
Which they can kama isingekuwa matatizo ya nicompoops kama huyu DC.
Sio wanataka ni wameanza mchakato wa kumtangaza Mwenye Heri, na formula ya Mungu, ukiokolewa, unaokolewa na nyumba yako yote kama Nuhu kwenye safina, hivyo soon unakwenda kuwa ni mtoto wa Mtakatifu Julius Nyerere, na wewe utakatifu utakuingia ghafla hauta onekana kama mlevi fulani, Parokia ya St. Peter's itatengeneza Groto pale Msasani na Mwitongo, tutakuwa tunakwenda kuhiji, maana Nyerere ndie atakuwa Mtanzania wa kwanza kutangazwa Mtakatifu!. Watoto wake wote utakatifu utawaingia kwa njia ya upako Mtakatifu!..
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…