Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

Chizi na Mwendawazimu ni Mama yako Mzazi. Naona baada ya Moderators kukuonya na ile ID yako sasa umeona uanze Kuitumia hii ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na sitokushtukia.

Endelea ili na hii nayo niiripoti Uadabishwe.
Basi tulia naona unaanza kuvuka mstari. Tuishie hapo mambo yasiwe mengi unataka kujaza inzi pigo za mashoga hizo naenda kusema kwa Mods tumalizane kiume unaenda unaenda kusema unaenda kusema mwisho utazibuliwa nyuma tumalizane wenyewe hapa tumeanzana wenyewe tumalizane wenyewe umeufyata unataka ukaseme utaukalia
 
Wanawake lazima muuone uzima wa milele, imagine kuna mwenzenu kazaa na huyu
 
 
Je na yeye ni bikra?
 
Nimegundua mahali panapokufaa na salama kwako ni jela tu. Huku mtaani hautaacha kutusumbua.
 
Asilimia kubwa ya wanawake wa kimachame ni bikra .... Kazi kwako
 
Huyu Deo bado yupo? Sijui alipotelea wapiii. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mwehu huko selo,jela wanamjua sana tu
Anataka kurudi jela aelewe na Nyapara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…