Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatakiwa kuandika namba ya gari na kukupa maelekezo ya ni kituo gani umpelekee leseni ndani ya masaa 72Chukulia huna vyote.
Haya ni mawazo sio sheria,sasa hayo masaa 72 ni ya nini?Atakupeleka kituo cha polisi, utaacha gari hadi utakapo peleka leseni
Habari ya masaa 72 siyajui. Na wala sijayasemaHaya ni mawazo sio sheria,sasa hayo masaa 72 ni ya nini?
inamaana gari ikikaa kituo cha polisi yakapita masaa 72 inapigwa mnada?
Anatakiwa kuandika namba ya gari na kukupa maelekezo ya ni kituo gani umpelekee leseni ndani ya masaa 72
yakipita bila kumpelekea unahesabiwa makosa na utapatikana kwa usajili wa namba ya gari yako.
Mi kuna aliyenikamata kwa kunisingizia kwamba ameruhusu gari ziende mimi nikaendelea kusimama,
Nilipombishia kulipa faini anipeleke mahakamani,akanipeleka kituoni,mkubwa wake alinipokea kwa kejeli kwamba
ninavyoona huyu polisi kalipenda gari langu kuliko mengine?
Na kuambiwa waniweke ndani wakati wanaandaa kesi yangu au niite ndugu zangu wanidhamini.
Kwa kuzingatia kauli ya mkubwa aliyonipokea nayo nikaona isiwe tabu,ngoja nilipe faini.
kuanzia siku hiyo wakinikamata iwe kwa haki au kwa kuonewa nafanya moja kati ya mawili au nalipa faini.
au natoa hela ya kubulashi viatu nawahi majukumu yangu.
You are right, I was trained this way by a certified instructor. Moreover wa kushoto kwako atadhania unaenda kushoto na wa kulia kwako atadhania unaenda kulia, mkanganyiko huu unaweza kuleta ajali2. Je ni sahihi mtu kuwasha double hazard anaposimama kwenye zebra/alama ya pundamilia ili na wenzie nao wasimame?ni kwa mujibu wa sheria?
Si sahihi kuwasha double harzad unaposimama kwenye zebra, unapotaka kunyoosha njia panda au unapovuka reli.
Kuwasha double harzad unamaanisha umepata matatizo kwa hiyo una ruhusu gari zilizo nyuma yako zipite
Ni hazard tu wakuu..hakunaga double hazard coz hakuna single hazard...kwako mwalimu kashasha!!2. Je ni sahihi mtu kuwasha double hazard anaposimama kwenye zebra/alama ya pundamilia ili na wenzie nao wasimame?ni kwa mujibu wa sheria?
Si sahihi kuwasha double harzad unaposimama kwenye zebra, unapotaka kunyoosha njia panda au unapovuka reli.
Kuwasha double harzad unamaanisha umepata matatizo kwa hiyo una ruhusu gari zilizo nyuma yako zipite
Upo sawa mkuu ila watanzania wengi tunaita double hazard na inabidi tujirekebishe.Ni hazard tu wakuu..hakunaga double hazard coz hakuna single hazard...kwako mwalimu kashasha!!
Kwa kweli kifungu sikijui,lakini nimejibu kwa kutumia mafunzo niliyojifunza chuo cha usafirishaji,wakati nafundishwa defensive driving.Je ni kwa mujibu wa sheria ? Unaweza taja kifungu gani?
Ili uonevu uishe kuna sheria nyingi inabidi zibadilishwe,kwa mfano ilitakiwa siku hiyo hiyoMmmhhh.... Huoni hapa unafuga maovu? Unadhani kwa style hii si watanzania watazidi kuonewa?
Hilo ni kosa mkuuJuzi nimetishiwa kuandikiwa fine kisa nilikuwa nimevaa open shoes. Hawa jamaa hawakosi kosa la kupigia hela.
You are absolutely right. Nadhani dawa ni kuwa muungwana na kumueleza changamoto nadhani kamanda ataelewa tu. Sheria inapaswa iendane na hekima katika kutafsiri.Na mimi naomba kuchangia. Mko njia kuu nje ya mji kwa mfano nje ya 50; mbele kuna milori kadhaa imetangulia mwendo mdogo sana. Unayafuata taratibu ukisubiria upate sehemu inayokuruhusu ku-overtake.
Mungu si Athumani, unaruhusiwa ku-overtake bila hiana mbele kweupe unaingia kulia. Lol! kumbe msafara mrefu kiasi, hamad, dotted line imefikia mwisho huwezi kurudi kushoto kwa sababu kuna gari; unakanyagia ili ulimalizie lile lori then unarudi kushoto tayari ulishavuka dotted line.
Duh! Balaa, kumbe walikuwa wamejificha mahali, ghafla wanaibuka barabarani unawekwa pembeni. Michezo hii ipo sana Kibaha - Mlandizi na Dumila - Gairo. Jamani, tukienda kiuhalisia hapo kosa langu ni lipi?
Kumbuka mstari wa kuniruhusu ku-overtake unapoanzia sijavaa darubini ili nijue unaishia wapi; ni hadi mita chache kabla ya unapoishia ndipo napoweza kugundua unaishia pale; siwezi kurudi kwa sababu kushoto kuna gari.
This is a very stupid regulation; nilishapigwa sana mabao ya aina hii. Sheria (I think rule) hii ilitakiwa izingatie zaidi ulipotokea/ingilia na sio pale dereva alipomalizia kutokana na changamoto niliyoileza hapo juu. Wahusika waliangalie hili.
hapo sawaDouble hazard kwenye junction kuonesha unanyoosha ni kuiokosea sheria ya usalama barabarani, matumizi yake ni parking ya dharula tu.
Kwenye junction yenye makutano ya njia nne na wewe uelekeo wako ni mbele, hauwashi chochote, bali kabla ya kuingia kwenye hiyo junction, pepesa macho kulia kuona kama kuna mtu ashaingia usubiri, baada ya hapo kanyaga wese kunyooka mwanawane.
Ndugu gari yako ni aina gani?Si kweli. Labda wanawaonea maamuma. Mimi siandiki kizembe wewe.mwaka huu mpaka mwezi huu sijaandikiwa kosa wala kulipa rushwa na mon to sunday nipo barabarani. Labda kama wewe ni daladala...
Mnalea ubovu mjue haki zenu.
Passo ndiyo pikipiki gani mkuu?Je Passo inastahili kukatiwa bima ya gari au Bajaj?
Hapa kwenye open shoes watu wanachanganya.ukiwa una drive huruhusiwe kuvaa open shoes