Dereva Halima aliyekatika mkono asema 'Niliona mtu ninayemjua akivuka barabara kabla ya ajali'

Kuna siku nilikuwa natoka Dar kwenda mkoa huko, hapo maeneo ya Kibaha baada tu ya kuvuka daraja halafu ile mizani (sasa haipo)...

Ilikuwa alfajiri kama ya saa 9 kwenda 10 hapo, gari haikuwa imechanganya sana vile safari ndio inaanza...

Pembeni kidogo tu hapo nilikaona kabibi kizee kapo uchi wa mnyama, kamchuchumaa makalio yameelekezwa barabarani...

Waafrika tunaendekeza sana hizi mambo za mauzauza, halafu ni mauzauza ya kuumiza watu au kuwatoa uhai kabisa...
 
Looooh alikuwa kazini
 
Unajua waliachaga route ya mbinga to dar,,,,kwasababu raia walikuwa wanaenda kupanda songea,walikuwa hawapandi feo

Now naona kaja kwa spidi sio ya kitoto,feo/selous inaanziambamba bay to dar..na mbinga to dar karudisha
Duuuuh hapo hatareeeeh sana lol,
 
Ungemparaza na gari yako shwaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo nyeto imeingiaje mzee wa nyeto?
Amka hapa jf hauko bafuni kwako ukipiga nyeto-akili ya kinyeto nyeto uwe unaacha bafuni. Sawa.
Usiwe mbishi wewee. Tunashauri sana acheni kupiga nyeto kabla ya safari hamsikii Matokeo yake mnabaki kuona mauza mauza njiani kwasababu nyeto zimefilisi na kunajis bongo zenu.

Ukizingatia ushauri kutopiga nyeto kabla ya safari utapungukiwa nini?
 
Na mtakufa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tangu nipate habari zake za kununua kafara, sitaki mie.
Napanda new force na tavavili.
ni msigwa yupi huyo, huyu alokuwaga mbunge au ??
 
Mauzauza nami nimewahi kukutana nayo natoka Dar kwenda Lindi mtu alikua anatembea kwa kasi kuja upande niliopo barabarani. Sikuyumba nikapita naye. Kumbe si binadamu. Wakati mwingine ni mashetani.

Anayebisha anabisha tu sababu kaamua kubisha.
Mie pia siwezi kwepa mpuuzi yeyote barabarani hata awe punda nitaishi nae tu! As long as ni usiku mnene
 
Aache naye kutuingiza chaka! Ni maluweluwe yake tu au alisinzia. Anyways hakuna dereva anayekubali kufanya kosa. Wote hutafuta visingizio. Tuombe Mungu amponye na pole zake.
 
Kama wewe sio Dereva wa long trip usi coment chochote maana utabisha tu, huko safarini watu wanakutna na mengi, mengine hawayasemi tu hadharani.
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Acheni kutupiga fix jamani. Madereva wa long trip za Bongo tu ndiyo wanakutana na vitu vingi na siyo sehemu nyingine duniani!🤣🤣
 
Fix!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…