TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

Siasa inalipa ila ya upinzani inalipa zaidi tena hapo kwa papo
 
Inaonekana umezoea mipasho na upashkuna.
Muda wa kujihangaisha kukujibu chawa promax kama wewe sina.
Endelea kutetea na kukumbatia maovu yatendwayo na hao wanaokutuma.
Ila mtambue tu kuwa siku zote uovu una mwisho. Hakuna jamii itakayo vumilia kufanyiwa matendo ya kikatili siku zote.
 
Mi pia sina muda wa kulijibu linyumbu lisilojielewa, liongo na lililojaa chuki kwa mtu. Maovu mnayatengeneza wenyewe chadema halafu mnajifanya kutoka kunyooshea watu vidole......pumbavu zenu magaidi wakubwa nyie. Unamtisha nani hapa mtoto mzuri kama wewe?!!
 
Kwamba asijitete ili wamfunge kwa kumkuta na hatia akose sifa za kugombea urais siyo? Na badae wampe msamaha wa rais uku akiwa kapoteza sifa za kua kiongozi hasakigombea urais

Unadhani lissu ni mjinga kijitetea
 
Kwamba asijitete ili wamfunge kwa kumkuta na hatia akose sifa za kugombea urais siyo? Na badae wampe msamaha wa rais uku akiwa kapoteza sifa za kua kiongozi hasakigombea urais

Unadhani lissu ni mjinga kijitetea
Kwa akili finyu kama zako ni ngumu kuelewa ..kuhusu kumfunga wakitaka wanamfunga hata akijitetea namna gani ...usidhani wanashindwa kumfunga kwa sababu ya kujitetea kwake bali kuna sababu tofauti na hizo ndiyo zinamfanya samia na ccm wasimfunge lissu ... kuhusu kugombea pia umesahau kuwa CCM ndiyo ilitamani sana chadema wagombee urais 2025 na huyo lissu ashiriki..unajua kwa nini ...hoja siyo kugombea, ccm awaogopi mgombea wa upinzani kugombea maana wao awapatagi ushindi kwa kura ..tumia akili kijana
 
Exactly! Kikwete alikuwa mfano mzuri! Hata Samia alitaka kuifanya NCHI iwe na democrasi na uchumi imara!
Tatizo watz hawana jema na hawana subra..mama wa watu akahamua afuate siasa za magufuli ili kuwaunga mkono kina Tlaatlaah and the like
Siyo hawana jema ni wapinzani. Nchi yenye kufuata mfumo wa vyama vingi lazima kutakuwa na wapinzani lazima kutakuwa na ushindani kisiasa. Mabishano yote ya kisiasa yanaamuliwa na sanduku la kura. Siyo na utekaji.
 
Kwenye umeme umechanganya files,27k aliiacha magu!
Wengine wakasema inanyonya shirika.
 
Ni nani anaifumua?
Hao watakaokua kwenye team mpya watatokea wapi?
Kwa kifupi tutaishia kuugulia maumivu tu 😢
 
Kwenye umeme umechanganya files,27k aliiacha magu!
Wengine wakasema inanyonya shirika.
Angalia mlivyo wasahaulifu?? Umeme bei alishusha Samia, na nyie wapumbavu mkaanza kumnanga kuwa ataua shirika kwa punguza bei ya kuunganisha umeme!
Nyie Kila kitu mnakinasibisha na dikteta jiwe!
 
Angalia mlivyo wasahaulifu?? Umeme bei alishusha Samia, na nyie wapumbavu mkaanza kumnanga kuwa ataua shirika kwa punguza bei ya kuunganisha umeme!
Nyie Kila kitu mnakinasibisha na dikteta jiwe!
Wewe mzee wa hovyo mpumbavu ndio nini?
Matusi ya kazi gani?
Mpumbavu mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…