TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

Well said bro
 
Huyu jamaa britanicca alipata wapi hizi taarifa?

Leo hii dereva wa Heche amekutwa ameuwawa huko Kigoma.

Hii inatoa picha kamili kuwa taifa letu lipo chini ya watu dhalimu na wasiofaa kuwa madarakani.
Tuseme ile malighafi ya ng'ambo imeanza kuota meno ai?
 
Sio kwa hii bongo ya kiharamia!
 
Poa, Samia hakutaka uadui ndo maana aliwaita, aliwalipa na kuwafungulia milango kina heche na lissu lakini wanachomlipa ni hiki tukionacho; matusi, uhamasishaji wa vurugu n.k
Hajasemwa aliyehusika hapo lakini vile upande mmoja unafanyiwa inaleta ukakasi na kuona kama yale matendo/kauli zao ndiyo yanawafikisha huku.

Tuache ushabiki kwa vitu viumizavyo mioyo ya watu daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…