Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Hahaahah, wabongo wate watakatifu. Halafu imekuja kujulikana aliyefia kwenye range ni muosha magari. Naona alilala usingizi akakosa hewaNi kweli kabisa, kuna watu wanafuata mkumbo tu na kujifanya wema sana au nchi ina watu wazuri
Tunaona kesi nyumbani zaidi ya huyu
Babu amlawiti mjukuu baada ya kujulikana ajiuwa, bongo
Baba mzazi ambaka mtoto wake wa miezi 6 mpaka kufa- Bongo
Na hao freemasonry?
Kila mahali kuna washenzi kweli boss ila waswahili kwa kuhukumu tuko juu
Angalia jamaa aliefia kwenye Range
Comments utafikiri wote ni police very strange
P.diddy atahukumiwa kwa makosa yake na mengi tutasikia pia
Ona sasa, halafu comments zile za Range unabaki unacheka tuHahaahah, wabongo wate watakatifu. Halafu imekuja kujulikana aliyefia kwenye range ni muosha magari. Naona alilala usingizi akakosa hewa
Wabongo tuna chuki binafsi hatariOna sasa, halafu comments zile za Range unabaki unacheka tu
Kuna watu wanapata madhila sio sababu ni wazinzi au watenda thambi, na kuna wanaotenda dhambi balaa na hakuna kinachowapata mpaka wanakufa.Kinachoharibiwa na uzinzi au uasherati au uovu wowote unaofanana na huo ni nafsi ya mtu,hapa unafungwa na shetani na kuanza kukutumikisha bila ya wewe kujua kuwa unatumiwa na shetani kutimiza anayotaka,lakini mwisho wa yote hayo ni kuangamia,kumbuka kuwa Karma is real...
Endelea kujifariji,eti wanatenda dhambi na hakuna kinachowakuta,unafikiri unaweza kujua mambo yanayomkuta mtu kwa kuangalia kwa macho,au ulitaka akutangazie anayoyapitia ndio ujuwe anataabika kutokana na uovu wake,ngoja nikuache najua huna unachokijua...Kuna watu wanapata madhila sio sababu ni wazinzi au watenda thambi, na kuna wanaotenda dhambi balaa na hakuna kinachowapata mpaka wanakufa.
Haya mambo hayatabiriki.
Hata wewe huna unachokijua unaongea kwa hisia tu. Mbona kuna watu wema wamepitia mambo magumu tu.Endelea kujifariji,eti wanatenda dhambi na hakuna kinachowakuta,unafikiri unaweza kujua mambo yanayomkuta mtu kwa kuangalia kwa macho,au ulitaka akutangazie anayoyapitia ndio ujuwe anataabika kutokana na uovu wake,ngoja nikuache najua huna unachokijua...
Ndiyo maana anaitwa Shetani yeye nimuongo msaada wake ni wakukuvuta ili uzame anakutupia chambo ukimeza tu umekwisha...Kwamba shetani (kama kweli yupo) awatupe wafuasi wa uovu wake kweli? Au ufika tu mahali anazidiwa na nguvu nyingine kubwa zaidi kuliko yeye na kupelekea yeye na huyo mfuasi wake kufeli?
Kwanza huyo shetani Hayupo.Utafikiri ninyi ni watakatifu, mnapenda kufurahi matajiri wakipata kashkash ili muuhusishe utajiri wao na shetani sijui freemason.
Acheni hizo mbanga, kuna watu wanapenda kula vitoto vidogo, wao starehe yao ni kupiga miti vitoto huyu akidakwa mtamsingiia ndu yenu shetani, wengine ndo hao wafukua mitaro, shetani anapata kesi kwa upumbavu wa mtu binafsi.
Hakuna Shetani anayefanya watu wafanye uzinzi na uasherati.Kinachoharibiwa na uzinzi au uasherati au uovu wowote unaofanana na huo ni nafsi ya mtu,hapa unafungwa na shetani na kuanza kukutumikisha bila ya wewe kujua kuwa unatumiwa na shetani kutimiza anayotaka,lakini mwisho wa yote hayo ni kuangamia,kumbuka kuwa Karma is real...
Dah, 😅 hata mimi nilikuwa naitwa puffy daddy. Inaniuma sanaDaah kila nikikumbuka pididi was my childhoods' nickname inaniuma sana
Anakaangwa kisawasawa. Sijui ali messup na nani au wapi kwenye jambo lipi?Naaam kama uliona series ya gangs of London Kuna watu wana control mfumo wakikuchoka wanakuchoma ndio yanayo mkuta Ali msomali Didi Cc Carleen Mr Q rip faza_nelly Scars
Hautaki kuja kuwa tajiri namba moja duniani atakayeiwakilisha Tanzania nchi za nje??Utajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si rahisi kukataa kwa utakayo amrishwa.
Sasa huenda pia huyu kijana (P Didy ) ni miongoni mwa ma devil worshippers na mtihani alipopewa ndio huo wa kuwalawiti wanaume wenzake tena wale ambao sio mashoga kabisa.
Kwa akili ya kawaida inaonekana kabisa hili ni shinikizo maana si rahisi mtu mwenye akili zake timamu awe vile alivyo .
Kwa alipofikia kutoka si rahisi na mwisho wake umekuja vibaya sana kila mmoja anamnyooshea vidole .
Hili liwe funzo pia kwa wengine wapenda utajiri wa shortcut ipo siku utatakiwa kuulipia tena kwa gharama kubwa sana ambayo kwa namna moja au nyingine inashusha utu wako na unaonekana kituko kwa wanaokutazama.
Itakuwa Kuna watu alizinguana naoAnakaangwa kisawasawa. Sijui ali messup na nani au wapi kwenye jambo lipi?
Nakumbuka mkuu!!Unakumbuka ile movie ya Apocalypto? Kuna kipande kinaonesha mtu anatolewa moyo then unaliwa hadharani.
Ule ni mfano wa hayo, wanapenda kuonesha mambo yao kupitia movies.