Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Hahaahah, wabongo wate watakatifu. Halafu imekuja kujulikana aliyefia kwenye range ni muosha magari. Naona alilala usingizi akakosa hewaNi kweli kabisa, kuna watu wanafuata mkumbo tu na kujifanya wema sana au nchi ina watu wazuri
Tunaona kesi nyumbani zaidi ya huyu
Babu amlawiti mjukuu baada ya kujulikana ajiuwa, bongo
Baba mzazi ambaka mtoto wake wa miezi 6 mpaka kufa- Bongo
Na hao freemasonry?
Kila mahali kuna washenzi kweli boss ila waswahili kwa kuhukumu tuko juu
Angalia jamaa aliefia kwenye Range
Comments utafikiri wote ni police very strange
P.diddy atahukumiwa kwa makosa yake na mengi tutasikia pia