Devil worshippers wanapitia magumu sana huenda P Didy ni mmoja wapo, na huwa wana mwisho mbaya sana

Aisee
 
Wana muziki au wasanii wengi wenye mafankio makubwa kwenye industry zao hasa huko Marekani wapo kwenye hilo chama. Hata hapa bongo the same. KAMA UNABISHA ENDELEA KUBISHA. Sema tusiwahukumu sana wengine bila sisi kufanya mahusiano yetu na Mwenyezi kuwa mazuri. Ni bora kuwa freemason ule maisha kuliko maisha kukupiga halafu mwisho wa siku wewe na freemason wote mtachezea kichapo kilekile motoni. Kwani kuna tofauti gani kati ya kuwa freemason au illuminant member na wewe unafanya dhambi ya uzinzi, na mengine kama hayo na huna mpango wa kutubu na kumrudia muumba wako?

"Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako."
 
Umefuatilia na umetafakari alichokisema Kanye West ?
 
Duu sasa mkuu unataka kuniambia hpa bingo wafanyabiashara wote wamo wakubwa na wadogo?
 
Na ukiwa kataa?
Mana wengne tunataka tufike kimataifa sasa itakuaje🤔😰
 
Umefuatilia na umetafakari alichokisema Kanye

So na wanasiasa wote wamo wa tz?
 
Wala si waamini, maana walienda wenyewe kwa tamaa zao
Yani hapo issue ni kumfirisi Pdidy, More money will come to you mo problem will see, hicho kipande aliimba na Big.

Kuna mshikaji wangu yupo Marekani alishawekwa jela na demu akatoka mambo yake super, kuna siku alichukuwa malaya wa dollar 300 wakaenda hotel walipomaliza kupeana mautamu demu anataka pesa yake jamaa alipiga simu Polisi dakika sifuri tu kipira hicho akawaambia wale Polisi demu anamletea fujo hotelini hataki kutoka kwenye room yake, Polisi walimchukuwa yule malaya wakaenda naye Polisi.

Kwahiyo inshort Marekani na ulaya kuna ukauzu ndio maana yule mchezaji wa Morroco mali alimuandikisha mama yake huna cha kumfirisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…