Devil worshippers wanapitia magumu sana huenda P Didy ni mmoja wapo, na huwa wana mwisho mbaya sana

Kumbe PDIDY ni kijana? Vipi naskia boss wetu wa tandale naye amepakwa mafuta,hivi ni kweli?.
 
Hhhh, sawa mkuu

Lakini kaa ukijua kwamba hakuna rais katika hii dunia ambaye sio member
Stori za vijiwe vya kahawa zinakupoteza.

Unasema dunia nzima kana kwamba umeshatembea kote huko.

Hapa hata nikikuuliza rais wa India nani humjui
 
Basi pia hata haya ma vita ni wao wanasababisha ki anina, wanchezesha kete zao tu,
Ila tuje kwa putin kwa yeye sidhani kma yumo, why anapiga against them?
Swali zuri sana mkuu...

Ni kweli wanacheza kete zao, na wana mfumo unaitwa divide and conquer, au controlled opposition.

Putin Ni wao, ila ana play kama mpinzani ili dunia isijue kinacho endelea, mwisho lengo lao ni moja-- One World government.
 
Watu bado mnaamini hizi story? Kweli wajinga hawaishi.
 
Kwahio mafukara mnafarjiana hapa..pumbav. hizi ni habar za kizushi. hakuna faraja yoyote itokanayo na kua fukara..mafukara siku zote ndio hua na mwisho mbaya mana umewapa watu mzigo haswa familia yako na zaid mzigo had kukuzika
 
Naunga mkono hoja, umasikini ndo chanzo cha haya yote hasa kuwa na wivu na wenye pesa
 
Je kuna kosa kuwa na one world government? Au shida nini ikiwepo?
 
Kuna watu wanapata madhila sio sababu ni wazinzi au watenda thambi, na kuna wanaotenda dhambi balaa na hakuna kinachowapata mpaka wanakufa.
Haya mambo hayatabiriki.
We live by trial and lucky,wengi walishatolewa ufahamu kisa upofu wa dini.
 
Swali zuri sana mkuu...

Ni kweli wanacheza kete zao, na wana mfumo unaitwa divide and conquer, au controlled opposition.

Putin Ni wao, ila ana play kama mpinzani ili dunia isijue kinacho endelea, mwisho lengo lao ni moja-- One World government.
Mkuu ngoja nikuulize swali la kizushi, wote hawa illum ni bnadamu tu na wanakufa vizuri , ila ni waabudu devil, na ukisom bible inasema lucifer yeye ni roho n kafungwa na yesu mwenyewe, sasa kwa ulivyosoma vitabu, je hawa waabudu shetan wanamuona ?, au mkuu kuliko wote duniani ni nan katika u binadamu? Mana na wao wko miaka na miaka na wanakufa pia.
 
Diddy ana 55 sio kijana
 
Katika society ya Illuminati, kiongozi wao ana jina la cheo cha juu, anaitwa Pindar, inasemekana mpaka mwaka 2023 alikuwa Sir Jacob Rothschild.

Huyu ndiye mwenye access ya kukutana na mashetani wa juu na kupokea maelezo kutoka kwao, kwa sasa Jacob ni marehemu.

Nao wanakufa kwani ni binadamu, lakini wana rithisha kwa bloodline zao, na mipango yao inaendelezwa na wanaofuatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…