Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Mmh !!!! hilo gumu kumeza kamanda kacheck jinsia yako vizuri usije akawa una double genda.
 
Mkuu bado hatujabarikiw mtt ila mda c mrefu tutakua nae na alipokuja na wazo ilo me mwenyewe nilimwambia atafuta sehem anunue kiwanja ajenge ya kwake na sio kwamba nafanya ivo kwa kumkoa wife hapan namjua mim mke wng na namuamini sana tu ila ni ana mdomo na kiburi hatar 😂 imagine anajinunulia vitu kwa hela zake ila status anawaringishia wifi zake kuwa nimemnunulia me yaani ni ake mwezi bila ya kutukanana na wifi zake ni kitu asichoweza kbs yaaan
 
Ana watoto?Nimewaza sana uliposemaWamachame Mungu anawaona...
 
Mkuu kiukwel bor mali zangu zote nitakazo miliki ziwe kweny uwangaliz wa familia yng mpk wanangu watakapokuw wakubw ndio zihamishiwe kwao na kama njia iyo kisheria ipo bora nifanye ivo tu hakuna namna nyengine
 
Cn mtt ata 1 kwa sas nitakuja kuandikia hapo baadae nikishakua nao na wawe washajielew kdg ila kwa sas hpn
 
Ana watoto?Nimewaza sana uliposemaWamachame Mungu anawaona...
Mkuu wana watoto watatu na huyu bibie wamachame, ila huyu mwanaume hiyo ndoa ni ya pili ya kwanza elishindikana pia.
 
The Folks say, "choose wisely" ukichagua mtu ambaye sio wa aina yako kwa kigezo sijui ndo umempenda hivyo hivyo ni balaa. Mwanamke mbinafsi siku zote ataishia kukufedhehesha tu. Hawanaga maana hata kidogo.
 
Mkuu wana watoto watatu na huyu bibie wamachame, ila huyu mwanaume hiyo ndoa ni ya pili ya kwanza elishindikana pia.
Kama mwanamke ninjeur apambane mahakamani, Mahakama itatoa Haki Kwa wote halafu yeye anaweza mruhusu huyu mwanamke akae Nayo Kwa ajili ya watoto, Muda mwingne Mahakama inaweza toa amri kuwa nyumba ni ya watoto, afanye HiVi ilikuweka rekord saw a.
Hana Cha kupoteza adai Haki yake! Na hukumu yake itakuwa funzo Kwa mfumo jike unaotka kujitutumua.
 
Wanaume watamjaza bichwa kwenda kudai Haki kama baba wa familia ni udhaifu wakati wana mtoto.
 
Mwanamke mwenye guts za kukwambia utoke kwenye nyumba mliojenga kwa ajili ya familia na watoto unahisi atakuwa sio jeuri? Hadi anafikia hapo amevumilia mengi sana huyo jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…