Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

"Nje
"...nje hatuna wajomba"-Hayati JPM (resty easy amen).
 
Inaelekea lugha haipandi.
Mtu anasimangwa kama mjane??
Huoni hadi ameishiwa nguvu
 
Kwa nini mtu kusimamia anachokiamini unaita dharau na kiburi?
 
Unasimamia unachokiamini huku ukiwa dhaifu na muhitaji kwa hao unaokwenda kuisimamisha hiyo misimamo ?!!
Naam.

Kwani ukiamini kitu wakati wewe ni dhaifu, udhaifu wako unakufanya usisimamie kile unachokiamini na unachotaka kusimamia?

Let me use a crude example to drive my point home vividly.

Wewe ukiwa mwanamme, hutaki kubakwa, halafu ni dhaifu, anakuja mwanamme mwenzako mbabe anataka kukubaka, utaacha kusimamia kuwa wewe ni mwanamme hutaki kubakwa kwa sababu tu huyo anayetaka kukubaka ana nguvu zaidi yako?
 
....hoja yangu ni kuwa hutaki kubakwa na mwanaume mwenzako halafu katika kujitetea huko unataka huyo anayetaka kukubaka akuonee huruma na kukupa msaada wa kutobakwa.....
 
Tatizo lako ujui tabia za MACHOKO WEWE HASA KIBURI NDIYO MAANA UNAMUONA ZELENSKY KUWA SHUJAA
 
Zele ana tamaa sana
Aliitwa Dictator bado hakielewa tu
Kwa ujinga wake na tamaa za kusaini mkataba ndio udenda ukamtoka
Sasa katimuliwa hata Dinner hakula masikini 😄 🤣
Utegemezi ni mmbaya kwa kweli

Kama Rais aliye kwenye vita, ndio wahanga walisema; amekufa kiume kule🤣🤣🤣🤣😅
 

Huyo president wa Ukraine hajielewi
 
Jamaa n wapuuzi sana wao ndo walitaka kumdharau na kumdhalilisha kikao kama hichi n cha siri ila wamejaza media ili wamtukane live ata mm ningevimba nisingekubali
 
Jamaa n wapuuzi sana wao ndo walitaka kumdharau na kumdhalilisha kikao kama hichi n cha siri ila wamejaza media ili wamtukane live ata mm ningevimba
 
Hata hivyo Trump ana dharau za wazi na ni boss ambaye anataka akiongea useme ndiyo,mbona hata maseneta anagombana nao!!?Kiujumla alikuwa amejiandaa kumponda zaidi dogo,naye akaona unyonye isiwe shida hata mbele ya vyombo vya habari.
 
Mkuu kwahiyo upumbavu wake ni kukataa kuwa mnafki sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…