Watabaki hivyo hivyo. Diamond na azidi kushineTatizo siyo Diamond
Tatizo ni mashabiki zake badala ya kusupport vijana wanaochipukia kazi yao ni kuwaponda
Diamond sasa hivi hategemei ubora wa muziki au ngoma zake kufanya vizuri.Diamond yupi huyo unaesema anashuka na haeleweki?? nasema hivi kwenye game ya bongo hakuna na kati ya wasanii waliopo hayupo wa kumshusha Diamond labda tusubiri wengine. Na wengine wasipokaza kalio huyu jamaa atakaa hapo juu mpaka MUngu aamue vinginevyo au astaafu na akiacha mziki na game ya bongo inaenda kuwa kama bongo movie.
Haya ndo madhara ya serikali kupiga marufuku ya Bar zisifunguliwe mchana,wahudumu wanakosa kazi za kufanya.Habari wanabodi,
Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka.
Kwa sasa naona kama upepo mbaya umempitia na amekuwa na roho ya kutokubalika kila kona hata muziki wake hauendi kivile.Rejea kisa cha baadhi ya watu kutaka aondolewa BET pia kuna shutuma za ju copy na ku paste nyimbo za Wizkidayo kama Essence japo hakuna ushaidi wa kutosha.
Ushauri wangu kwake Diamond mm kama shabiki wa nyimbo zake kwa sasa ameshafanya mengi sana inabidi ahachane na muziki 2025 atafute jimbo la kugombea au rais wa JMT Samia Suluhu ampe teuzi hata pale wizara ya sanaa, Basata,au BMT waanze kumsogeza taratibu taratibu kwenye siasa. Vinginevyo heshima yake itapotea ni bora aka retire with a crown kuliko kungoja kudharaulika.
Hizi sasa chuki za waziwazi.Jinga wewe yaani domokaya aniongoze Mimi ? Labda aongoze Malaya zake hao akina mobeto na zuchu
Watu banaaHabari wanabodi,
Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka.
Kwa sasa naona kama upepo mbaya umempitia na amekuwa na roho ya kutokubalika kila kona hata muziki wake hauendi kivile.Rejea kisa cha baadhi ya watu kutaka aondolewa BET pia kuna shutuma za ju copy na ku paste nyimbo za Wizkidayo kama Essence japo hakuna ushaidi wa kutosha.
Ushauri wangu kwake Diamond mm kama shabiki wa nyimbo zake kwa sasa ameshafanya mengi sana inabidi ahachane na muziki 2025 atafute jimbo la kugombea au rais wa JMT Samia Suluhu ampe teuzi hata pale wizara ya sanaa, Basata,au BMT waanze kumsogeza taratibu taratibu kwenye siasa. Vinginevyo heshima yake itapotea ni bora aka retire with a crown kuliko kungoja kudharaulika.
Huyu Dogo hawezi shuka,level aliyofika,ameishakuwa CEO,sasa hv yupo kwenye level ya kina Dr Dre,P Diddy,ni mtu anayemiriki lebal,hata asipoimba,kufsnya nae tu collabo,ni pesa tosha,hata 40s hana,tafadhaliHabari wanabodi,
Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka.
Kwa sasa naona kama upepo mbaya umempitia na amekuwa na roho ya kutokubalika kila kona hata muziki wake hauendi kivile.Rejea kisa cha baadhi ya watu kutaka aondolewa BET pia kuna shutuma za ju copy na ku paste nyimbo za Wizkidayo kama Essence japo hakuna ushaidi wa kutosha.
Ushauri wangu kwake Diamond mm kama shabiki wa nyimbo zake kwa sasa ameshafanya mengi sana inabidi ahachane na muziki 2025 atafute jimbo la kugombea au rais wa JMT Samia Suluhu ampe teuzi hata pale wizara ya sanaa, Basata,au BMT waanze kumsogeza taratibu taratibu kwenye siasa. Vinginevyo heshima yake itapotea ni bora aka retire with a crown kuliko kungoja kudharaulika.
Yule mtu sk hizi hana identity yake 'yeye kama yeye' kwenye fani. Mtu kama Vannyboy ka stick kwenye aina flani ya style yake.Diamond kinyumbani kafanya mengi kiasi cha kuwa Brand inayomuingizia pesa hata asipotoa nyimbo
Tukirudi kama international act kiukweli "BADO", Tunamuweka katika Top 10 ya Africa lakini he can hardly make it in top 5 or 3. You see !!
Kingine Jamaa hana "Platnumz sound" maana unaweza msikiliza Davido, Wizkid, Burna Boy au hata hapa home kama Mb Dog or Mr Nice ukajua wana sound yao ila si Diamond.
Diamond amekuwa commercial kiasi cha kuwa copy cat wa chochote kinachotrend hivyo, amebakia kuleta impact katika muziki Commercially ila musically "BADO".
Kichwa chake kipo kwa ajili ya kushikilia masikio tu na sio kufikiri.wakati mwingine uwe una tumia kichwa kufikiria sio kutumia ayo makalio mda wote sawa bwasheee
Tuliza mshono chiefDiamond sasa hivi hategemei ubora wa muziki au ngoma zake kufanya vizuri.
Tegemeo lake kubwa sasa hivi ni vyombo vya propaganda alivyonavyo.
Haya haya maneno niliyasikia wakati ametoa wimbo wa 'number one' tena yalitamkwa na mganga mashuhuri wa enzi hizo, hiyo wishful thinking uliyonayo kwa kifupi tunaiita 'dua la kuku'.Habari wanabodi,
Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka.
Kwa sasa naona kama upepo mbaya umempitia na amekuwa na roho ya kutokubalika kila kona hata muziki wake hauendi kivile.Rejea kisa cha baadhi ya watu kutaka aondolewa BET pia kuna shutuma za ku copy na ku paste nyimbo za Wizkidayo kama Essence japo hakuna ushaidi wa kutosha.
Ushauri wangu kwake Diamond mimi kama shabiki wa nyimbo zake kwa sasa ameshafanya mengi sana inabidi ahachane na muziki 2025 atafute jimbo la kugombea au rais wa JMT Samia Suluhu ampe teuzi hata pale wizara ya sanaa, Basata,au BMT waanze kumsogeza taratibu taratibu kwenye siasa. Vinginevyo heshima yake itapotea ni bora aka retire with a crown kuliko kungoja kudharaulika.