SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Vipi mwaliko wangu umeukubali?Kwa hapa,wewe ndo umewaza hayo mengine. Mimi mawazo yangu yapo kwenye pepsi
Tulia basi nipo njianiVip mwaliko wangu umeukubali?
Hivi hujaacha tu?Wakati anaanza muziki ulimshauri pia au aliamua mwenyewe? Anyway binafsi si mkubali hata kidogo hasa baada ya kujua kumbe ni ccm.
Alikuwa anajifariji tu, failures huwa wana misemo ya aina hiyo ndiyo maana hata msemo wa 'aliye juu mngoje chini' umebadilika na kuwa 'aliye juu mpandie huko huko'.Unaweza kuwa namba moja ila uwezi ukawa namba moja milele.
Inspector haruni anasema "mlikokua ninyi hata sisi tulikuwepo, na tulipo sasa hata nyinyi mtakuja"
Hajanikosea nasema tu ukweliAmekukosea nini Mond??, maana sio kwa comment hii.
Kwani mkuu wewe huwezi kuwa star wa sinema za ngono kwanza ili awe role model wake.Domo ni mtu wa majungu inawezekana akaiweza siasa kwani inahitaji watu kama yeye, ila mi namshauri awe star wa kucheza sinema za ngono na wanawake wa pale Tandale na Uwanja wa Fisi atuwekee Netflix tuwe tunaangalia tukiwa na stress zetu.
Role model wa domo ni Mama yake, si unaona tabia zao zinalingana?Kwani mkuu wewe huwezi kuwa star wa sinema za ngono kwanza ili awe role model wake.
Alikuambia?Role model wa domo ni Mama yake, si unaona tabia zao zinalingana?
Nadhani aaaaaa.... mkikubali awe m/kiri wa chadema. Hili kuipaisha kama CCMHabari wanabodi,
Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka.
Kwenye mziki huwezi kaa kwenye pick milele mkuu, lazima uteremke tu.Alikuwa anajifariji tu, failures huwa wana misemo ya aina hiyo ndiyo maana hata msemo wa 'aliye juu mngoje chini' umebadilika na kuwa 'aliye juu mpandie huko huko'.
Watu wanaowekeza ni aghalabu kutetereka, mifano iko mingi sana kwenye hilo.
Sasa Kwanini umesema maneno makali hivi??.Hajanikosea nasema tu ukweli
Watasema Kiba π π π πAlafu nani achukue nafasi yake sasa[emoji102]?
Huwezi kutoa ngoma zote kali ila naungana na wewe huu wimbo ni hovyo kwa level yake.Kwa huu mziki alioutoa leo nafuu aache mziki tu
Lakini cha ajabu mpaka kesho atakuwa anaongoza ktk digital platforms zote EA, hapo ndipo unapo gundua mbaya kwako ila kwa wenzako mzuri.Huwezi kutoa ngoma zote kali ila naungana na wewe huu wimbo ni hovyo kwa level yake.
Sio ajabu ana subscribers wengi. We umeupenda?Lakini cha ajabu mpaka kesho atakuwa anaongoza ktk digital platforms zote EA, hapo ndipo unapo gundua mbaya kwako ila kwa wenzako mzuri.
Wengi wape na hauwezi kuwa fanani bila hadhira.Sio ajabu ana subscribers wengi. We umeupenda?