Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

Na namna ya kujisafisha baada ya kufanya ngono, nje ya kuoga kawaida, kuna namna ingine ya kuikimbiza hiyo mikosi na mabalaa 🤔
 
Wapo (Ke)wanatumia ngono kama mtego wa kuwafunga kiroho na kiuchumi wanaume wanaowalenga esp. kupitia manii ya mwanaume.
 
Ngono(Kujamiiana) ni Tendo Takatifu na lina Utaratibu wake. Utaratibu ni kumpata mwenza wa kudumu na sio kuruka-ruka huku na kule kama mbuzi.
Hivi vizingiti vya kidini vinasaidia watu kujitambua na kuwa na kiasi, ila haviwezi kuzuia asili ya binadamu.

Na ubinadamu unaanza kwanza halafu dini inafuata. Dini ni chombo cha kudhibiti watu na sio kuwabadilisha.

Ingekuwa dini zinaweza kuondoa nyege basi nafikiri hili tatizo la ngono lisingekuwepo.
 
Mtu anasema ngono inaleta mikosi, ila kila siku lazima ajichue. Madhara ya kujichua kisaikolojia ni makubwa kuliko anayefanya ngono twice per week.

Abstinence inawezekana kwa wachache tu, wengi wanachokimbia ni kuumia kiuchumi kwa sababu hawana kipato cha kuhudumia ngono, na ndio sababu kubwa ya kuabstain.
 
Mzee point kabisa hii
 
Kijana Fanya ngono salama hakuna tatizo lolote

Acha kuokoteza okoteza 😅

Acha ku date na omba omba ili kunusuru hivyo visenti vyako

Kitendo cha wewe kunyetuka ni ishara kwamba mwili wenyewe automatically hua unadai sex na unakosa option

Wewe kunyetuka deilee hakuwezi kukupa utulivu

NB : Fanya ngono salama kwa ustawi wa afya yako ya akili
 
Exactly babu wewe ni Babu kweli🔥
 
Humu jf kuna watu wazuri sana kwenye kutoa ushauri amabo wanajua fika mshauriwa ni ngumu kufwata. Jamaa kashasema pesa changamoto hizo piss high class anazipata wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…