Kwa mwanaume aliyewahi kujichua anaweza kuona tofauti ya qquma na mkono katika kufanya shahawa zitoke. Kusema qquma na mkono vipo sawa ni ukichaa tuHiyo hatia inaletwa kwa sababu ya imani za kidini.
Wala si kwamba punyeto ni mbaya.
Shahawa unazomwaga ukiwa na mwanamke ni shahawa zilezile unazomwaga ukijichua.
Hakuna madhara yoyote ya kiafya hapo.
Punyeto ni usenge ,punyeto inaleta Gundu, punyeto inaleta MikosiHakuna uhusiano wowote wa Punyeto na Dili zako.
Hakuna sehemu nimesema punyeto na sex vipo sawa.Kwa mwanaume aliyewahi kujichua anaweza kuona tofauti ya ** na mkono katika kufanya shahawa zitoke. Kusema ** na mkono vipo sawa ni ukichaa tu
Listen to ur inner voice!
Hii ni logical fallacy inaitwaPunyeto ni usenge ,punyeto inaleta Gundu, punyeto inaleta Mikosi
Mimi ina voice yangu itakuwa na shida.Listen to ur inner voice!
Hata ukiwa unafanya ngono ukamwaga nje na ukafanya ukamwaga ndani kuna utofauti,Leta uthibitisho wa kisayansi sio imani za kidini zilizowajaza hofu na vitisho.
Unapambana sana kuitetea punyeto kwa sababu huenda na wewe tayari imeshakuathiri na unaumia kuona wengine wanaikandia ila kama mwanaume Upo fit mentally, socially and economically punyeto wont be in the list of your options.Hii ni logical fallacy inaitwa
Non-sequitur.
Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyokuwa na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Basi jifunze kutokana na matokeo! Or else you’ll have to learn it in a hard way!Mimi ina voice yangu itakuwa na shida.
Huwa inafanya kazi nikisha cum.
Yaani nikisha cum ndio na come to my senses.
Hiki unachokifanya kina madhara makubwa zaidi ya hayo unayo yakwepa, ikiwezekana jizuie kwa namna yoyote ile usitoe mbegu zako nje kwa sasa ,kwa sababu hauko tayari mentally and physically.ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi
Kuchoka kupo kwa wote.Hata ukiwa unafanya ngono ukamwaga nje na ukafanya ukamwaga ndani kuna utofauti,
Ukimwaga nje unachoka zaidi tofauti na ukimwaga ndani, fanya hiyo reseach mzee
Hakuna ambacho hakiathiri.Unapambana sana kuitetea punyeto kwa sababu huenda na wewe tayari imeshakuathiri na unaumia kuona wengine wanaikandia ila kama mwanaume Upo fit mentally, socially and economically punyeto wont be in the list of your options.
Yeah. Ni kweli uko sahihi lakini ndo ivo tena- sikio la kufa halisikii dawa.Binafsi sioni hivyo kabisa.
Ila naamini kwenye maisha kuna sheria zisizozungumzwa ambazo watu wanafuata bila kupenda.
Tutaimbiana sana kwamba ngono ni mbaya ila watu watafanya tu, kamwe hawatoacha.
How?Ngono inaweza ku unlock matatizo ya kiuchumi, kihisia na hata ya kiroho! Kama si lazima iepuke kwa kila namna!
Ukisoma humo ndani utapata kakitu!How?
Kuchoka kupo kwa wote.
Umwage ndani, umwage nje, kuchoka kupo kwa wote.
Mwili haujui kwamba shahawa hizi zimemwagwa nje, uchoke zaidi. Au shahawa hizi zimemwagwa ndani, uchoke kidogo.
Mwili haujui hilo.
Ukisha mwagwa popote pale, iwe nje au ndani. Unachoka tu.
Hakuna kipimo chochote cha kupima uchovu wa mwili kwa shahawa zilizomwagwa nje na ndani.
Kama kuna mda wapata tamaa, rafuta mpenzi mmoja tu, usir badili badili sio nzuri ki maadili na hata ki afya. Binafsi sikushauri ujiendekeze na nyetoNdugu zangu wanajf,
Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana.
Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa.
Je ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi baada ya kutathamini athari za kiuchumi na kiafya najikuta nakuwa muoga.
Me ni kijana wa kiume, umri wa miaka 24, lakini nimeganda kwenye hili wazo ndugu zangu.
Naombeni msaada wa mawazo.
Natanguliza shukrani.
Acha kabisa kupiga punyeto ndugu kabla mambo hayaja kuharibikia inamadhara makubwaHii ni logical fallacy inaitwa
Non-sequitur.
Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyokuwa na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Sahihi kabisa. Ila sex na mwanamke ina athiri kiuchumi (kifedha), kiafya na muda wa kutongoza zaidi. Sex na mwanamke esp. asiyekuwa mke wako, unajiweka ktk. hatari ya kufumaniwa au hata kudhuriwa kimwili kwa kipigo au kulogwa.Hakuna ambacho hakiathiri.
Sex na mwanamke ina athiri.
Punyeto ina athiri.
Shahawa zinazomwagwa wakati wa sex na mwanamke ni shahawa zilezile zinazomwagwa wakati wa kujichua.