Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 504
- 1,071
Kwahiyo unataka kusemaje Mr Mbaga JrNikisema nataka ushahidi maana yake hata jamii inajua hilo jambo, Sasa mtu amekutwa ndani amekufa mnaanza kusema ni nyeto, kuna taarifa niliona mahali ety mtu amekufa kwa kupiga nyeto mara cjui 69 huko, afu hakuna aliyemuoa akipiga hizo bao, sasa unaweza kujiuliza hawa watu wamejuaje amepiga hizo bao kwa nyeto.
Huu sio ushahidi, n ngonjera.
Hahahaaa. Inawezekana labda walihesabu idadi ya miduara ya mkojo au walikuta kiasi kikubwa (volume) cha uwingi wa manii halafu wakatumia kikokotoo kupata idadi ya mabao.Nikisema nataka ushahidi maana yake hata jamii inajua hilo jambo, Sasa mtu amekutwa ndani amekufa mnaanza kusema ni nyeto, kuna taarifa niliona mahali ety mtu amekufa kwa kupiga nyeto mara cjui 69 huko, afu hakuna aliyemuoa akipiga hizo bao, sasa unaweza kujiuliza hawa watu wamejuaje amepiga hizo bao kwa nyeto.
Huu sio ushahidi, n ngonjera.
Ww mwnyw ulichoandika hapa unajua kabisa haiwezekani 😂Hahahaaa. Inawezekana labda walihesabu idadi ya miduara ya mkojo au walikuta kiasi kikubwa (volume) cha uwingi wa manii halafu wakatumia kikokotoo kupata idadi ya mabao.
Ndiyo. Haiwezekani kabisa. Nili-koment kuonesha kitu kama hiko hakipo. eti bao 69!!Ww mwnyw ulichoandika hapa unajua kabisa haiwezekani 😂
Watu tuna zaidi ya miaka 35 tunapiga nyeto na sijawah kuona dhara lolote lile, hata mafua cjawah kupataNdiyo. Haiwezekani kabisa. Nili-koment kuonesha kitu kama hiko hakipo. eti bao 69!!
Nakazia Hoja. Hivi vijana wanashindia vijiweni tuu na hawapati nafasi ya kusikiliza ripoti za polisi -wanaposema fulani ameuawa au amejinyonga kwa kisa ni mapenzi??? Lakini hatujawahi kusikia visa kama hivyo kwa wapiga nyetoMapenzi yameua / yana madhara mengi kuliko nyeto.
Ila broo, punguza kidogo au jiwekee speed governor.Watu tuna zaidi ya miaka 35 tunapiga nyeto na sijawah kuona dhara lolote lile, hata mafua cjawah kupata
Mpaka iniue ndo ntapunguza speedIla broo, punguza kidogo au jiwekee speed governor.
Anazingua huyoAchana na mchezo wa kupiga nyeto inakupunguzia hadhi inabidi akili ikukae sawa unapigaje nyeto kibwege halafu bado ni 24 tu uoga uoga unaogopa nini? Madogo punguzeni ujinga wewe umeshindwaje kuwatafuta mabinti hapo mtaa wa pili ukaanza kuwagonga ukishindwa huwezi kuzungushana na mtu basi nenda maeneo ukanunue acha kukaa kifala unajikabaje koo wewe kila siku kazi yako kujipiga kitanzi unajinyonga tu utaishi hivyo mpaka lini?
Upo sahihiHata Uwezo wa kufikiri na kufanya kazi unaongezeka
Hey! Ukisha RIP utawezaje tena kupunguza speed? Wakati ni sasa ukingali hai.Mpaka iniue ndo ntapunguza speed
Itajulikana huko hukoHey! Ukisha RIP utawezaje tena kupunguza speed? Wakati ni sasa ukingali hai.
Haya bhana.Itajulikana huko huko
Safi sana umenena vemaSheria mkononi itakuletea mafadhaiko, sio suluhu.
Kufanya ngono salama sio vibaya.
Ninahisi una tatizo la kutokujiamini na wasiwasi mwingi linalokusababisha usite.
Ukiwa mtu wa kuwaza waza sana kuna namna maisha yanakushinda. Binadamu wengi wakifikia huo umri wako wanafanya ngono. Wanatii mahitaji yao ya kibaiolojia. Hata washika dini, watafanya kisha watatubu. Hii haibadilishi kwamba wameshafanya!
Kuna mambo yapo tu tokea enzi na enzi hayabadiliki. Ni asili, hata dini haiwezi kuzuia.
Sawa sawa mama mchungaji injili isongeNimeelezea hapo juu kutokana na maroho aliyobeba mtu, watu wana maroho wachafu yanawaandama! Unakuta mtu hawezi kufanikiwa, hawezi kuoa/kuolewa, pesa hazikai kwake, kila anachogusa ni mkosi tu! Sasa ukiingiliana na mtu huyu unaweza kujikuta umeingia kwenye maagano kama yake!
Amina mtumishi🙏🏽Sawa sawa mama mchungaji injili isonge
Sex is worth 100 times than beating your meatMtu anasema ngono inaleta mikosi, ila kila siku lazima ajichue. Madhara ya kujichua kisaikolojia ni makubwa kuliko anayefanya ngono twice per week.
Abstinence inawezekana kwa wachache tu, wengi wanachokimbia ni kuumia kiuchumi kwa sababu hawana kipato cha kuhudumia ngono, na ndio sababu kubwa ya kuabstain.
If you take money out of the equation I think the only thing that makes me happy to be alive right now is enjoying sex honestly it is the best therapy ever.Wengine tukiifanya hiyo ngono ndio akili zinakuwa active. Kukaa bila kufanya ngono kunaweza kusababisha kufanya maamuzi yasiyo sahihi.
Ngono salama ni tiba ya ubongo.
Jitafute kwanza mkuuNdugu zangu wanajf,
Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana.
Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa.
Je ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi baada ya kutathamini athari za kiuchumi na kiafya najikuta nakuwa muoga.
Me ni kijana wa kiume, umri wa miaka 24, lakini nimeganda kwenye hili wazo ndugu zangu.
Naombeni msaada wa mawazo.
Natanguliza shukrani.