Ina maana wewe hujui dini ni nini
Alafu unapinga ukristo sio dini!!?
Kwanini ulipinga ukristo sio dini?
Well bad news is Nobody cares.You are not a right person to discuss this with me, I have a degree in theology, did it in LA Carlifonia
Nobody cares african.
Sio kwamba sijui, nimekuuliza wewe uliyesema ukristo ni nini uniambie dini ni nini na mimi nitakuambia kwanini ukristo sio dini.Ina maana wewe hujui dini ni nini
Alafu unapinga ukristo sio dini!!?
Kwanini ulipinga ukristo sio dini?
Sasa sikia maana ya Ukristo.Ina maana wewe hujui dini ni nini
Alafu unapinga ukristo sio dini!!?
Kwanini ulipinga ukristo sio dini?
Mkuu unanishangaza ulishasema mimi sio mtu sahihi kudiscuss na wewe sababu una degree in theology ambayo umeipata carlifonia.Dini ni njia, Imani is a real thing, ndo maana kwenye ukristo ni dini, But in that kuna faith!
Mkuu jifunze kuwa na misimamo, utekelezaji na ujifunze kutumia ufahamu kufikiri na sio hisia kama ulichoandika post ya nyuma ambapo kwa asilimia karibu 78% umetumia emotions kufikiri.Religion is not an African thin, is faith, that book is not prepared for anyone, the Bible is universal, so read, get the faith and let it help you! Same applies to white, brown and all colors!
Unadhani hii definition ya ukristo inaondoa uhalisia kwamba ukristo umechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika?Sasa sikia maana ya Ukristo.
Ukristo ni tafsiri ya neno "Christian"
Christian ni neno la kilatin
Katika lugha ya kilatin majina yote yanayoishia "ian" yana maana askari walio chini ya kamanda flani.
Mfano
Herodians, walikuwa makamanda wa Herode
Galibians, walikuwa makamanda wa Galiba.
Christ ni Kristo.
Kristo ni Yesu.
Jina mkristo limetumika kwa mara ya kwanza Antiokia.
Wale walioonekana wanaenenda vile vile kama Yesu waliitwa wakristo kwanza hapo Antiokia.
Ukristo maana yake ni uaskari au ufuasi wa Kristo. Kuenenda vile vile alivyoenenda Yesu.
Chukua Biblia yako nionyeshe mahali pameandikwa ukristo ni dini.
Ukishindwa nitakuja kudhibitisha haya ninayoyasema kwenye
Mkuu jifunze kuwa na misimamo, utekelezaji na ujifunze kutumia ufahamu kufikiri na sio hisia kama ulichoandika post ya nyuma ambapo kwa asilimia karibu 78% umetumia emotions kufikiri.
Point ni nini hapo, ukristo ni dini au sio dini, mambo ya kudumaza akili hatujaanza kuyazungumziaUnadhani hii definition ya ukristo inaondoa uhalisia kwamba ukristo umechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika?
Ni kipimo gani umetumia kikakuonyesha kuwa mimi sina akili. Nakushauri unywe maji baridi ili hasira yako ipoe. Ni bora utoe hoja kuliko kutoa matusi. Nakutakia siku njema!!Huna akili wewe as an individual. Kutokua na akili wewe usijumuishe na waafrika wenzako
Kwa tafsiri yangu kuhusu akili ni kuwa, Akili ni Ufahamu au kipawa kinachomuwezesha mtu kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kupanga/kupangua, kujifunza na namna ya kutatua changamoto mbalimbali zinazomkabili mtu kulingana na mazingira aliyomo.Mkuu tumia facts na sio hisia.
Kabla ya kusema wazungu wametuzidi akili itabidi utuelezee kwako akili ni nini.
Na jinsi gani wazungu wametuzidi akili?
Sababu haiwezekani ukageneralize kitu ambacho hakijafafanuliwa.
Kwako akili ni nini?
Na jinsi gani wazungu wametuzidi akili?
Tumia facts mkuu.
Samahani mheshimiwa!! "Herodians" siyo Makamanda wa Herode bali Wafuasi wa Herode hali kadhalika "Galibians" "ian" kilatini humaanisha mfuasi wa........................ na siyo kamanda wa.............................Sasa sikia maana ya Ukristo.
Ukristo ni tafsiri ya neno "Christian"
Christian ni neno la kilatin
Katika lugha ya kilatin majina yote yanayoishia "ian" yana maana askari walio chini ya kamanda flani.
Mfano
Herodians, walikuwa makamanda wa Herode
Galibians, walikuwa makamanda wa Galiba.
Christ ni Kristo.
Kristo ni Yesu.
Jina mkristo limetumika kwa mara ya kwanza Antiokia.
Wale walioonekana wanaenenda vile vile kama Yesu waliitwa wakristo kwanza hapo Antiokia.
Ukristo maana yake ni uaskari au ufuasi wa Kristo. Kuenenda vile vile alivyoenenda Yesu.
Chukua Biblia yako nionyeshe mahali pameandikwa ukristo ni dini.
Ukishindwa nitakuja kudhibitisha haya ninayoyasema kwenye maandiko.
Samahani mheshimiwa!! "Herodians" siyo Makamanda wa Herode bali Wafuasi wa Herode hali kadhalika "Galibians" "ian" kilatini humaanisha mfuasi wa........................ na siyo kamanda wa.............................
Lengo lako ni zuri na nia yako ni njema lakini kumbuka kuwa neno "Kamanda" (kishwahili) au "Commander" (kiingereza) linatumika katika Majeshi na maana yake ni "Kiongozi" (Kwa upande wa Jeshi) na neno "Askari" (Kiswahili) au "Soldier" (Kiingereza) linatumika katika Majeshi na maana yake ni "Mfuasi" (Kwa upande wa Jeshi)Ni makamanda sijakosea. Herode alikuwa mfalme, maherode(Herodians) walikuwa askari wake wa kumlinda.
Vile vile Kwa Galiba, Galibians walikuwa askari wake.
Hata sisi wakristo pia ni askari wa Kristo
Kuna mahali imeandikwa
"Ushiriki taabu pamoja nami kama askari mwema wa kristo Yesu"
Maana halisi ya majina yanayoishia na "ian" kwa kilatini ni maaskari au makamanda wa mtu flani wanaotii amri zake bila kuzipima kwa kutumia akili
Haijarishi sababu mada haiongelei ukristo ni dini ama sio dini kwa definition yoyote ile.Point ni nini hapo, ukristo ni dini au sio dini, mambo ya kudumaza akili hatujaanza kuyazungumzia
Hapa nakubaliana na wewe kwamba ni kweli mazingira yalichangia pakubwa kudumaza ufahamu wa mwafrika.tafsiri yangu kuhusu akili ni kuwa, Akili ni Ufahamu au kipawa kinachomuwezesha mtu kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kupanga/kupangua, kujifunza na namna ya kutatua changamoto mbalimbali zinazomkabili mtu kulingana na mazingira aliyomo.
Nimesema wazungu na waarabu walituzidi akili kwa kuwa kabla ya kufika Africa wao wenyewe walikuwa wameshapata changamoto nyingi za kimazingira, kiutawala na kimkakati ikiwemo vita nyingi walizopigana baina yao katika kugombea ardhi na kutanua himaya zao, hivyo basi changamoto hizo ziliwafanya kukuwa kiakili kwa kutafuta maarifa sehemu mbalimbali na kuwa wabunifu, kwa ubunifu wao waliweza kugundua namna bora za utawala na udhibiti. Hali hiyo huku Africa ilikuwa haijafikiwa japo vita miongoni mwa watawala vilikuwepo lakini ubunifu haukuwa mkubwa.
Hivyo wao walipofika huku walikuta sisi bado tupo chini kiakili hivyo ilikuwa rahisi kwao kutushika na kututawala wanavyotaka, ndiyo maana utaona hata tunajivunia kutumia majina yao kwa kuwa walitudanganya eti ni majina ya dini (kitu ambacho ni uongo). Wahindi wametawaliwa na Waingereza lakini ni nadra sana kukuta muhindi anatumia jina la Kiingereza. Hii ni kwa kuwa wanajielewa sana tofauti na sisi, Wachina walitawaliwa na Japan kwa muda mrefu lakini ni nadra kukuta mchina anatumia jina la Kijapani ni kwa kuwa wanajielewa na uwezo wao wa kufikiri na kuchambua ni mkubwa.