Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

Kuachana kwa maagizo ni Sababu ya sisi wenyewe binadamu.
Kama hakuna mungu mmoja.
Wewe umeumbwa na mungu yupi?
Mungu wa wasukuma. Maana hata dini za kiafrika kuna Mungu tofauti kama ambavyo Yahweh na Allah walivyo tofauti. Kumbuka pia Buddhism, Hinduism, Shintoism, Confucianism, etc., Wana miungu tofauti kabisa na nyie waislamu, wakristo na sisi waafrika.
 
Mungu wa wasukuma ameumba Nini?
Mungu wa wasukuma. Maana hata dini za kiafrika kuna Mungu tofauti kama ambavyo Yahweh na Allah walivyo tofauti. Kumbuka pia Buddhism, Hinduism, Shintoism, Confucianism, etc., Wana miungu tofauti kabisa na nyie waislamu, wakristo na sisi waafrika.
 
Waafrika tafuteni maendeleo kwanza muwe na nguvu haya ya dini mtayachukulia kawaida tu kama wengine wanavyochukulia ila kinachoendelea sasa mnakuwa kama watoto yatima kila jambo mnalalamika tu yote kwa sababu mpo nyuma kila kitu unyonge wenu unawafanya mlalamike hata visivyo na maana.
 
Yaani ni uduwanzi uliopita kikomo.

Ujinga usio mwisho.

Ukimuona mlokole anavyomshobokea yesu, utadhani alikuwa mpigania uhuru wa kiafrika.

Na ukiona mwarabu mweusi anapepea na kanzu nyeupe na makobazi utadhani ni vazi la taifa.
Waislamu wanapepea kanzu kwa sababu ni vazi tukufu. Hata sisi Wakristo kwenye Biblia tumefundishwa kuwa miongoni mwa mavazi ambayo Yesu alivuliwa kabla ya kusulubiwa ni Kanzu nyeupe

Over
 
Mungu wa wasukuma. Maana hata dini za kiafrika kuna Mungu tofauti kama ambavyo Yahweh na Allah walivyo tofauti. Kumbuka pia Buddhism, Hinduism, Shintoism, Confucianism, etc., Wana miungu tofauti kabisa na nyie waislamu, wakristo na sisi waafrika.
Zungumzia Mungu
Usizungumzie miungu watu wala usizungumzie masanamu
 
Asili yetu wa Africa ,sio hizi dini za wazungu, Dini za mababu zetu wa zamani ndo asili yetu na dini zetu, Hizo Anglican nakadhalika niza wazungu sasa mwafrica anawezaje kupewa top postn kwani dini yake!!?
 
utoaji wa mali asilimia kumi au sehemu ya kumi ni TRA ya dini. Yesu alilieleza hili vizuri tu ila watu hawasomi bibilia vizuri. Japo mm nimekuzwa ktk malezi ya kiisilamu ila miujiza sio kweli kwani uwezo huu walipewa wanafunzi wa yesu tu. Hata kipindi roho mtakatifu anaingia walikuwa wanaongea lugha za ajabu.

Leo hii Bushiri,Mwamposa wapo bize na ushuhuda alafu mnategemea wafuasi wake na yy mwenyewe aende/waende mbinguni.
Wanafunzi wa Yesu waliwaambia wayahud wachague watu saba wenye hekima na kutenda haki.

Kati ya saba hao waliombewa na kupewa majukumu ya kazi ya kueneza neno la Mungu ila hawakuweza kufanya miujiza kwa sababu Ile roho ilikuja kwa mda mfupi tu.
AMEEN
 
Utoaji wa mali asilimia kumi au sehemu ya kumi ni TRA ya dini. Yesu alilieleza hili vizuri tu ila watu hawasomi bibilia vizuri. Japo mm nimekuzwa ktk malezi ya kiisilamu ila miujiza sio kweli kwani uwezo huu walipewa wanafunzi wa yesu tu. Hata kipindi roho mtakatifu anaingia walikuwa wanaongea lugha za ajabu.

Leo hii Bushiri,Mwamposa wapo bize na ushuhuda alafu mnategemea wafuasi wake na yy mwenyewe aende/waende mbinguni.
Wanafunzi wa Yesu waliwaambia wayahud wachague watu saba wenye hekima na kutenda haki.

Kati ya saba hao waliombewa na kupewa majukumu ya kazi ya kueneza neno la Mungu ila hawakuweza kufanya miujiza kwa sababu Ile roho ilikuja kwa mda mfupi tu.

AMEEN
 
Hujui kitu..bora ukakaa kutulia..endelea na mengine ya msingi katika maisha yako na acha kupotosha.

#MaendeleoHayanaChama
 
What.....?

Is this a new revelation?

Why not preached and taught in everyday life?

My friend! won't they behead you for this secret and bitter truth?
 
Mungu wa wasukuma. Maana hata dini za kiafrika kuna Mungu tofauti kama ambavyo Yahweh na Allah walivyo tofauti. Kumbuka pia Buddhism, Hinduism, Shintoism, Confucianism, etc., Wana miungu tofauti kabisa na nyie waislamu, wakristo na sisi waafrika.
Durga, Ng'ombe, Dagoni, Ashtorethi, Baali nk nk
 
Kibaya sasa imetengenezwa chuki na matabaka baina ya hizo dini za wazungu...

Hawa mambo yao haya wanajiona sahihi...
Hawa mambo yao haya wanajiona sahihi...

Wakikukutana ni mapambano badala ya amani...
Waadventista wa Sabato wanamuamini Yesu lakini hawaamini tarehe ya kuzaliwa kwake (25 Disemba) japo wao nao hawana tarehe halisi (mbadala ya hiyo). Pia wanapromote siku ya ibada (Sabato) ambayo Biblia hiyo hiyo inasema hatuko chini ya Torati, kwao usipoishika Torati ya Sabato basi hutoziona Mbingu.

Wakatoliki wanamfanya/wanampromote Bikira Maria kama nafsi ya pili ya Mungu na kwamba Mungu ana nafsi nne (Baba, Maria, Yesu, Roho Mtakatifu)

Lutheran Chapel ya Harvard University US, chuo maarufu duniani kwa vipanga, kama Wakatoliki, nao wanaamini nafsi nne za Mungu (Baba, Mama, Mwana, Roho Mtakatifu), kwamba hakuna Mwana na Baba bila Mama, japo hawasemi Mama wanayemmaanisha ni Maria ua la, aidha, hawatuambii Mungu alioa lini? Binti wa nani? Ndoa ya Mungu ilifungwa Kanisa lipi? Na Mchungaji yupi?

Hivi sasa kuna versions za Biblia 25 na zinaendelea kuongezwa zingine, Wakatoliki wame-expand Biblia kwa kuongeza vitabu vipya. Kuna hatari siku za mbeleni tukawa na vitabu labda vitaitwa Injili ya Papa Mtakatifu, au Waraka wa Bikira Maria kwa Watu Weusi au Injili ya Malkia Elizabeth Mtakatifu (kwa Waanglikana).

Ni mapambano kama unavyosema japo siyo ya Msalaba bali ya falsafa za kiimani.

TUMEVURUGWA AFRIKA! DUNIA IMEVURUGWA!
 
Mbona hushangai kuwa TOYOTA ni mjapani.
SCANIA Mzungu.
Howo Mchina.
FAO Mchina.
Boing Mzungu.
Macedez Benz Mzungu
FIAT Mzungu.
Suzuki Mjapani.
Honda Mjapani.
Hyundai Mkorea.
Bajaj Mhindi .
TATA Mhindi.
AK-47 MRUSI.
UZI GUN MUISRAEL.
G3 Mjerumani.
Colget Mzungu.
Phoenix Mchina / Mmarekani.
Nokia Mzungu.
Samsung Mkorea.
Tecno Mchina.
apple Mmarekeni
N.k .n.k .nk..

Mifumo ya Dola,ni wao .
Mifumo ya Mahakama ni wao.
Mifumo ya bunge ni ya kwao.

Mishino ya nguo ya kwao.
Mifumo ya tiba na Elimu ya tiba ni ya kwao.

Nafaka tunazokula na matunda asilimia kubwa ni ya kwao.

Michezo kama soka na Kareti ni ya kwao.

Kwa hiyo sishangai kama hata dini zao zikichukua nafasi ya dini dhaifu za mababu zetu zilizoshindwa kuzuia utumwa na Ukolini na kuacha Mali zetu ziporwe.

Dini zilizotufundisha woga na kuwalamba miguu watawala. Dini zilizoshindwa kukataa Machifu wetu waongo , wabinafsi ,wenye tamaa mbaya, wezi na wanafiki waliouza nchi zetu Kwa wakoloni Kwa kupewa Bunduki na vitambaa vya nguo za kaniki na shanga za wake zao.

Kabla ya kulaumu dini za Wageni tulaumu kwanza za kwetu na waliokua wanaziongoza.
Dini dhaifu huleta matokeo dhaifu ya Kiimani na mwisho wake ni Kwenda motoni.
 
Kweli kabisa!
Waafrika tumevurugwa na dini na miungu ya wakoloni.
Mambo mengine tungewaachia tu wakoloni sisi tuwaze kujenga tu uchumi wetu badala ya kujikita kwenye dini na miungu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…