Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Ha haaa hatari sana
 
Afya ambayo Sasa inamliza [emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]
 
Mwenyewe narudi nyumbani nalala ndani ya gari,asubuhi naamka naingia kuswaki ndani kuvaa nasepa.

ratiba ndio hiyo mwezi sasa, na hatupost insta, sema mi naenda anzisha post THREADS kule ndio pana kikisha haraka.

Hamna mahusiano yasio na changamoto, muhimu hamdundani ni kasoro tu za kutoelewana basi kausha komaa na biti lako.

ingekua diva unadundwa mingeu daily ningetia neno, ila bado baby face yani ni maneno tu ya hapa na pale na kutoelewana zingine, We komaaaa...

Utaolewa mara ngapi, unataka kila mahusiano yawe matamu matamu mwanzo mwisho, Olewa na YESU KRISTO basi Kila mahusiano yana Side A na Side B watu wengi wanaiweza side A tu ila ikija side B mbio mbio insta kuanika ya ndani mwao.

Shenziiiiiiiiii... muwe mapadri na Masista kama mapenzi hamuyawezi ebooooo....
 
Vanessa ndo maana alikua anamkatalia kumzalia Jux, na sometimes alikua anaenda majuu kusaka fursa zilizo ndani ya carrier yake, alivyokutana na Rotimii hakulaza damu, chap akambwagaa jux na yeye kuzamia kwa baba 7, leo anakulaa maisha Atlanta.

Vee kajua kunifurahishaa mnooo. Hajawahi niangushaa kabisaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Mange ni kichaa kabisaa, mie nilicheka hadi hoi
 
Akati amesema alikua anapigwa na kudundwa vibaya had mimba yake imeharibika.
 
Mi naona ni bahati tu ya Vanessa.. mana tukisema juhudi/akili binafsi tunakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…